Elections 2010 Vituo vya kupigia kura Igunga

Tuanze sasa kujadili mambo ya siku ya uchaguzi Igunga.

Ni nani mwenye majina halisi ya vituo vyote vya kupigia kura. Nimeangalia kwenye website ya Tume ya Uchaguzi sioni badala yake naona jumla ya kura zilizopatikana kwa wagombea wa last October.

Hii itatusaidia maana najua wapo wengi kama mimi wanaonataka kufuatilia kura za kila kituo, sihitaji kujumlishiwa na Tume ya Uchaguzi..

Watu mnatafuta umaarufu ambao hamtakuwa nao maishani mwenu. Familia yako yenyewe inalala njaa, unajishughulisha na igunga !
 
Watu mnatafuta umaarufu ambao hamtakuwa nao maishani mwenu. Familia yako yenyewe inalala njaa, unajishughulisha na igunga !

Kama natafuta umaarufu basi sema jina langu halisi na ninafanya shughuli gani. Ukiweza walau jina tu basi ijia Tshs. 1,000,000.
 
Back
Top Bottom