Vituo 55 Hewa Vya Kupigia Kura Arumeru Mashariki Vyafungwa

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Hatimaye vile vituo 55 na zaidi vilivyokua vimepandikizwa na CCM na baada ya hapo CHADEMA kuvishtukia hatimaye vimefungwa! Hii ni baada ya chama cha Demokrasia na Maendeleo kutumia makamanda wao kuutokomeza mchezo mchafu! Nitaendelea kuwaabarisha wapenda Demokrasia ya ukweli.

SOUCE: Kitatiti - Arumeru Mashariki!
 
Ahsante kwa taarifa kamanda futilia zaidi na wale mamluki wa kuletwa toka Musoma wana mkakati gani??????????

Back
Top Bottom