Vituko vya waheshimiwa mmh!

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Awali nikidhani ule ukorofi wa wale wabunge maarufu kwa MIONGOZO na TAARIFA kule mjengoni, kwamba ukorofi wao huishia kulekule kumbe sivyo.

Hivi karibuni waheshimiwa wa kutoka kambi ya upinzani rasmi bungeni, wakiwa Hotelini mambo yakawa kama hivi.

Wenje :-
Mwongozo wa mwenye hoteli,
nasema hivi , chumvi haitoshi kwenye samaki, na viazi vilikua havijaiva sawasawa!.

Mnyika :
We mwenye hoteli, Taarifa!
Huu mchuzi unaonekana wa jana!
Siungi mkono hoja ya sie kulipia chakula hiki .

Tundu Lissu :
Mwongozo !
Mi niliagiza kuku wa kienyeji , nimeletewa kuku wa kizungu, heshma gani hii, haki ya Mungu silipi ! (huku akigonga meza).

Zitto :
Taarifa !
Nasema kwa kifungu 14 mabano 6 fasili 7 Tume iundwe mara 1 , kuchunguza kama kweli huu ni mchele wa Mbeya kama unavyodai, na ole wako ikutwe ni wa Kilombero!
 
Mkuu Judgement unaniangusha kama umecopy hii..kama huja copy we ndiyo mmiliki nini wa hiyo hoteli?
 
Last edited by a moderator:
Awali nikidhani ule ukorofi wa wale wabunge maarufu kwa MIONGOZO na TAARIFA kule mjengoni, kwamba ukorofi wao huishia kulekule kumbe sivyo.

Hivi karibuni waheshimiwa wa kutoka kambi ya upinzani rasmi bungeni, wakiwa Hotelini mambo yakawa kama hivi.

Wenje :-
Mwongozo wa mwenye hoteli,
nasema hivi , chumvi haitoshi kwenye samaki, na viazi vilikua havijaiva sawasawa!.

Mnyika :
We mwenye hoteli, Taarifa!
Huu mchuzi unaonekana wa jana!
Siungi mkono hoja ya sie kulipia chakula hiki .

Tundu Lissu :
Mwongozo !
Mi niliagiza kuku wa kienyeji , nimeletewa kuku wa kizungu, heshma gani hii, haki ya Mungu silipi ! (huku akigonga meza).

Zitto :
Taarifa !
Nasema kwa kifungu 14 mabano 6 fasili 7 Tume iundwe mara 1 , kuchunguza kama kweli huu ni mchele wa Mbeya kama unavyodai, na ole wako ikutwe ni wa Kilombero!

Ahahahaaaaaaa, hii nimeikubali!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom