The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,885
- Thread starter
- #41
Huko ndo mwake Bossman.
Amini ninachokwambia.
Cha msingi ni kuhakikisha tu unazi maintain kwa kiwango kizuri ili kuongeza equity.
Kuna wakati inafika mtu unajisemea tu mwenyewe moyoni 'duh mbona hizi hela zinaingia kirahisi hivi'....hahahaaa.
Mimi biashara sijui za maduka au zile zinazohitaji usimamizi wa kila siku siziwezi kwa kweli.
Wajanja wengi mno na mwisho wa siku faida inayoingia ni ndogo sana.
Kwenye real estate hata mtu kukuibia ni vigumu. Atakuibiaje wakati mmeingia makubaliano ya kimkataba na anakulipa kila baada ya miezi 6?
Tena nyakati hizi za Magufuli,,,,kila biashara in stress mpya tele
bora real estate tu...
nakuja slowly....soon ntakuwa better place...