Vituko vya waajiriwa wapya maofisini

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,885
Inafahamika kazi siku hizi ni ngumu kupata
ajabu hao wachache wanao bahatika kupata hawaishiwi kufanya vituko maofisini

nidhamu hakuna

mara mtu asije tu kaziini bila taarifa

mwingine aje kwa mda anaoutaka

mwingine aombe ruhusa kila mara.....

kiukweli maofisi meengi hawa waajiriwa wapya ni 'gumzo'

wengine wengi wakifukuzwa mapema sana

Sijui hili tatizo ni kubwa sana kwenye ajira
 
Hii mostly ipo Tanzania, sijui nani katuloga, upuuzi huu huwezi kuu ona kenya.
katika kuomba kazi mikono nyuma na maneno matamu lukuki, wakipata punde wanaota mapembe na kuanza kuforce increment.
 
Nadhani Tanzania inahitaji system za kufanya kazi kama nchi za Ulaya na America, unapofika kazini uwe una SIGN IN na kutoka kuwe na ku SIGN OUT. Pia kuwekwe system ya points ukikosa kufika kazini au kuondoka mapema kazini iwe mtu anapata point. na zikifika 12 kazi anapoteza lakini kwa hivi tunavyokwenda serikali itapata hasara milele.
 
Alishawahi kusema mizengo pinda, watanzania tunalalamika watu wanatoka Kenya wanakuja kuajiriwa lakini sie wenyewe hatupo serious na kazi, ruhusa kila siku mara nimefiwa, mtoto anaumwa, mara naumwa tumbo nahara yani visingizio havikauki
 
mtu analia njaa kila siku
lakini akipata kazi anaanza kulia ruhusa kila siku
 
Hayo yote ni kawaida ya wafanyakazi wa Tanzania, wawe wapya au wa zamani.

La kwetu ni la zaidi
labda malezi au culture.....

mtu anakulilia mno umpe kibarua
unampa kibarua leo.kesho haji na simu hapokei...
 
Alishawahi kusema mizengo pinda, watanzania tunalalamika watu wanatoka Kenya wanakuja kuajiriwa lakini sie wenyewe hatupo serious na kazi, ruhusa kila siku mara nimefiwa, mtoto anaumwa, mara naumwa tumbo nahara yani visingizio havikauki
nlivyoripoti kazini tu kwa mara ya kwanza nikaomba ruhusa ya two weeks homeee!!nikakaaaaaa!!!!ndo nkaenda!!
 
Back
Top Bottom