Vituko vya UDOM - Wanafunzi kumwita mhadhiri shemeji!!

mkuu we utakua na lako 2 la moyoni kuhusu UDOM,au ushamba,au kutokujua mambo,Mbona haya mambo yanatokea kila chuo,critisize UDOM 4 other things not this common GOSSIP
 
Bora hata hao wahadhiri vijana na wengine hawajaoa wanafanya hivyo. Kuna mibaba mizima tena maprofesa na madaktari katika vyuo vikongwe kikiwemo UDSM wanatembea na vitoto vitukuu vyao. I dont think UDOM is exceptional on this matter.
 
Nimekugongea thnx Nanren mana uliyosema ni kweli tupu. Mimi hujiuliza hilo suali huwaje binti akiwa primary au high school akiwa top in class huambiwa hodari, lakini Chuo Kikuu huambiwa kagawa kitu.
 
Salaam wana JF!

Sote tunakifahamu chuo chetu kikuu cha Dodoma. Ni chuo ambacho kumekua na vituko vingi vikiripotiwa toka pale. Mfano,wanafunzi kufundishwa na wahadhiri wenye shahada moja! Kuitwa chuo cha kata kutokana na kua na uhaba wa wahadhiri wenye sifa na vigezo! Makamu msaidizi wa mkuu wa chuo kujiita kondoo mweusi,mara kuku anayeatamia! Kuitwa chuo cha chama (CCM). Chuo kutoa shahada ya uzamivu kwa mkwere wakati chuo hakijawahi hata kutoa mwanafunzi 1 wa shahada hiyo n.k.

Ila hiki kituko cha wanafunzi kuwaita baadhi ya wahadhiri shemeji,mimi kimeniacha hoi.

Kutokana na chuo kua na wahadhiri wengi vijana,kumetokea tabia ya wahadhiri hao kujisevia wanafunzi wa kike,kiasi kwamba hadi wanafunzi wenzao wanafahamu tabia hizo na mwishowe kuamua kuwaita wahadhiri hao wanaotembea na wanafunzi wenzao wa kike,mashemeji!

Hakika UDOM kuna vijambo na vituko!
Haya ndio matatizo ya kuwa fundi wa mashineni unachowaza ni PUMBA.
 
Bora hata hao wahadhiri vijana na wengine hawajaoa wanafanya hivyo. Kuna mibaba mizima tena maprofesa na madaktari katika vyuo vikongwe kikiwemo UDSM wanatembea na vitoto vitukuu vyao. I dont think UDOM is exceptional on this matter.
 
Back
Top Bottom