vituko vya uchaguzi arumeru mashariki, magari ya ccm na chadema yafukuzana!

Naibili

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,730
519
kuna taarifa hapa kupitia ITV kuwa kuna gari moja ambalo linasemekana ni la ccm na jingine la chadema yamepita yakifukuzana, huku gari lililokuwa likifukuzwa likisemekana ni la ccm,

na kuna taarifa kuwa kwenye baadhi ya vituo kura zilizokuwa zikijaribu kupenyezwa zimekamatwa na makada wa chadema ambao wako doria.

pia kuna taarifa kuwa kuna waandishi wa habari wamepata ajali na wapo hospitali kwa sasa, walikuwa katika harakati za kutafuta habari.
 
Kura zimekamatwa hadi kwenye chupa za chai, kifupi ni kwamba CDM wamejipanga vilivyo!
 
jaman mnasema kweli hayo mambo? Sasa inawezekana chadema ikalinda vituo vyote au ni wananchi wenyewe wamejitolea kulinda kura zao? Basi kama ndivyo ilivyo hakika ccm hawana lao lakin pia ulinzi uzingatiwe zaidi hata igunga ilikuwa hivyo lakini mambo yakaja badilika ghafla
 
Taarifa zingine tinaziogopa maana hii tarehe imekaa vibaya(fulls day)
 
ni wananchi wenyewe wameamua kulinda kura zao.
 
Ee Mwenyezi Mungu simamia CHADEMA, inyooshee mkono wako wa baraka, waepushe na hila za shetani ccm!!!

Semeni "AMENI"
 
Taarifa zingine tinaziogopa maana hii tarehe imekaa vibaya(fulls day)

Regam; fools day mwisho ni saa sita mchana. Mtu kama analeta habari za uongo kwa kisingizio cha fools day yeye ndo fool wa kweli kweli
 
kuna taarifa hapa kupitia ITV kuwa kuna gari moja ambalo linasemekana ni la ccm na jingine la chadema yamepita yakifukuzana, huku gari lililokuwa likifukuzwa likisemekana ni la ccm,

na kuna taarifa kuwa kwenye baadhi ya vituo kura zilizokuwa zikijaribu kupenyezwa zimekamatwa na makada wa chadema ambao wako doria.

pia kuna taarifa kuwa kuna waandishi wa habari wamepata ajali na wapo hospitali kwa sasa, walikuwa katika harakati za kutafuta habari.

Hahaaa nakumbuka tangazo la Voda Swala anamkimbiza Chui, jionee tofauti, magamba kwishney
 
jaman mnasema kweli hayo mambo? Sasa inawezekana chadema ikalinda vituo vyote au ni wananchi wenyewe wamejitolea kulinda kura zao? Basi kama ndivyo ilivyo hakika ccm hawana lao lakin pia ulinzi uzingatiwe zaidi hata igunga ilikuwa hivyo lakini mambo yakaja badilika ghafla

Mkuu wananchi wamejitokeza kwa wingi kulinda kura zao.leo atumwi mtoto dukani
 
Back
Top Bottom