Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,235
Usimwachishe kazi.Kosa ulilifanya wakati wa uchumba wenu ulijiweka katika uwezo ambao hutaumudu baada ya ndoa.Toka mwanzo ungemzoesha kuchangia gharama.Hata hivyo hujachelewa endelea kuzungumza nae kuhusu hilo atabadilika tu badae.