Vituko vya mourinho.

ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
908
604
Baada ya mbwa wa mourinho kupewa mimba na mbwa wa sergio ramos(beki wa madrid) katika mazingira ya utata,mourinho alimlaumu sana mkewe.Mourinho akamwambia mkewe;"kama mbwa wetu ambaye ni mlinzi wetu kapewa mimba basi na huyu binti yetu hana muda mrefu naye atapewa mimba kiurahisi kabisa".
 
Back
Top Bottom