Vituko vya DC huyu.....wote ndivyo walivyo?

Kapo Jr

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
996
280
Takribani miezi minne hapa RUNGWE wananchi wananchi hapa wilayani wanalumbana ongezeko la ankara za maji %125 kwa mwezi,(TUWASA) walipotoa proposal wananchi tulikataa kwani hatutumii dizel au petrol kusukuma maji yametegwa mabomba kwenye chanzo twashangaa DC Msome anavyotutisha wananchi tunavyofanya mikutano kuhusu kesi inavyokwenda anatuma polisi kuwakamata viongozi wa umoja wetu,wananchi hawako tayari kuburuzwa wako mbioni kumburuza kortini wapi tuendako
 
Wananchi ndio tumeajiri viongozi wote akiwemo raisi kwa kuwapigia kura wateuzi wa raisi wakitu-bore wawajibishwe bila kulindana who's DC in our life waamuzi ni wananchi KYALA IKUTULA TUKUTOLA...we're the champs
 
Mnyonge anapigania haki yake hadi mwisho. Kama mnaamini mko sahihi msirudi nyuma piganieni haki yenu msiwewaoga wala msiburuzwe na hao polisi
 
Msimsingizie Msoma, huyo ni mtu mwema sana inawezekana nyie wenyewe ndio wakorofi. Kesi iko mahakamani mnakutana kwa ajili ya nini? si msubiri uamuzi wa mahakama?
 
Takribani miezi minne hapa RUNGWE wananchi wananchi hapa wilayani wanalumbana ongezeko la ankara za maji %125 kwa mwezi,(TUWASA) walipotoa proposal wananchi tulikataa kwani hatutumii dizel au petrol kusukuma maji yametegwa mabomba kwenye chanzo twashangaa DC Msome anavyotutisha wananchi tunavyofanya mikutano kuhusu kesi inavyokwenda anatuma polisi kuwakamata viongozi wa umoja wetu,wananchi hawako tayari kuburuzwa wako mbioni kumburuza kortini wapi tuendako

huyo siyo wa kupelekwa mahakaman ni kujaza tu mafaili,kamata piga mpaka mmuachie alama...hii ndiyo mijitu kupe.
 
Huyu aliepost ni mnafiki kwani hajui ukweli ulivyo na anakurupuka. Dc msome amepigania bei ya maji bila kuchoka mpaka ewura wamemuelewa na kukubali kupunguza gharama mpya. Meneja wa mamlaka ya maji ameambiwa aandbe upya bajeti yake ili ewura iweze kupunguza bei kwani walishapanga mipango ya kuboresha huduma kwa kutumi fedha za makusanyo ya wateja na serikali kuu. Tatizo suala hili limeingia siasa na kutaka kumchafua dc aonekane hafanyi kazi na zaidi kuna mwandish wa nipashe naona hana kazi ama amewageuza watu wa tukuyu wa kuchumia tumbo lake. Naomba akome kuwachonganisha wananchi na serikali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom