Vituko vya daktari.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Mgonjwa alipiga simu kwa daktari bingwa ili kufanya appointment na maongezi yakawa hivi.

Mgonjwa- 'daktari nahitaji kukuona naumwa'.

Daktari- 'hamna nafasi mpaka wiki ijayo'

Mgonjwa- 'naumwa sana nikifa kabla ya wiki je'

Daktari- 'ukifa kabla mkeo apige simu ili tufute appointment'
 
Back
Top Bottom