Vituko vya condom.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Mke: mume wangu leo nilipokuwa nafua nimekuta condom kwenye mfuko wa suruali yako.

Mume: mke wangu kuna shindano Clouds radio watangazaji wanatembea mitaani ukikutwa na condom mfukoni unapewa laki moja.

Mke: kama hivyo sawa ukipata hiyo laki nami unipe nusu.

Kuna watu wana mbinu za kumaliza soo balaa.
 
mimi ninawas was na huyo mwanamke anaweza akawa chz kama co MPUMBAVU!
 
msifikiri huyo mwamke ni mpumbavu kihivyo. aliamua tu kukubaliana. wanawake wanaelewa sana lakini huwa wanaacha. Si watu wanaopenda makuu.
 
Mkuu hiyo avatar yako koo limekauka na mate yananidondoka, ni miaka kadhaa sijaonja...unanikumbusha back home.hiyo ni ile kavu ya pale kati?

Mkuu nashukuru kwa kutoa mbinu mbadala za cheating.
 
Ungetueleza huyo mwanamke anatokea pande zipi ingekuwa poa sana, hao ndio wanafaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom