Vituko vya Bhoke BBA ni sera nzuri za CCM?

Al Zagawi

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
2,461
1,447
Nakumbuka Wakati Richard aliposhinda BBA miaka michache iliyopita, kuna vimbelembele(soma viongozi) kutoka CCM walidai kuwa ushindi huo ulikuwa ni matokeo ya sera nzuri za CCM katika kuendeleza utamaduni na michezo. Hiyo ilikuwa ni licha ya aibu alizofanya Rich akiwa BBA na bi Tatiana kutoka Malawi.

Majuzi mshiriki kutoke TZ, Bhoke amerudi na zigo la aibu, alichokifanya na yule kijana kutoka Uganda kinafahamika na kila mwenye kufatilia matukio.

Sijasikia comments za viongozi wa CCM (au wameshughulishwa na tishio la kufutwa kwa posho?) wakieleza kuwa aibu hii ni matokeo ya nini, kushindwa kwa sera au ni vipi?

CCM mpo, tuelezeni basi, mbona kimya??? au mnasubiri kudandia treni kwa mbele???? Maana siku hizi huwa mnasubiri suprise mkurupuke na hoja mfu!!!!! always behind the time!!!! shame!!!
 
Eti kuendeleza utamaduni na michezo..
Upumbavu sana huu na ushenzi mtupu..
Mpaka leo na hasira na CCM tangu
Wafute michezo shuleni ..
 
ningekuwa mimi ningepiga marufuku watz kushiriki na napiga marufuku kutangaza BBA tz, hii ni aibu ya taifa
 
ningekuwa mimi ningepiga marufuku watz kushiriki na napiga marufuku kutangaza BBA tz, hii ni aibu ya taifa

Bhoke si mwanamke? kwani kigeni kilichofanyika nini? angekua mvulana kageuzwa ningeona issue. Mbona kina Mwisho na Richard wamefanya kwa raha zao na mabinti wa nchi nyingine? halafu mwenyewe katamka wazi hajutii kale ka mchezo it means she enjoyed so what is a big deal?
 
Back
Top Bottom