Vituko vya Air Tanzania: The wings of kilimanjaro!

mmmh hizo ndo zao mm niliganda moshi last week for 5hrs,wanasema ndege haijatoka dar,kumbe ipo kia haina mafuta!I HATE THEM

Yaani sijui kwanini mashirika yetu ya ndege ni waongo hivyo. Hivi majuzi nilikuwa nasafiri na Precision Air na makubaliano yangu na wao kuwa nasafiri na Boeing. Siku ilipofika tukaambiwa Boeing ni mbovu tukapanda ATR kumbe Boeing ni nzima inafanya safari za Nairobi. Jamaa mmoja alikuwa ana tiketi ya business class akabaki kulalamika tu maana kwenye ATR hakuna cha business class.
 
vipaumbele vya taifa ni nini? shirika linaweza simama pale litakapo tenganishwa na wanasiasa, nasikia wachina waliokuwa walichukue waligoma kutokana na ukiritimba wa wenye mamalaka
wanashindwa kuelewa kuwa na shirika kubwa la ndege ni moja ya vichocheo vya utalii,
 
management kwa kweli ni tatizo kubwa sana na hilo ndo linaua mashirika kibao hapa kwetu.....
mijitu inpachikwa pachikwa tu
haya huyo mwenyekiti mwenyewe mbunge sijui wa Kondoa, useless
bungeni alikwa toothless n speechless
huko ATC atafanya nini cha maana hasa?? Jimboni kwake kafanya nini cha maana??
agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

Hiyo niliyoweka kwenye red ndo tatizo hasa. Uongozi kwa TZ ni wa kupeana tu bila kuangalia utendaji wa mtu. Watu wanatafutiana ulaji tu bila kujali maslahi ya nchi. Infact hatuna rais. Yupoyupo tu na wala hajali kabisa juu ya maendeleo ya nchi yake. Eeeee MUNGU iponye Tanzania na huu uonevu.
 
Mkuu, Geoff, hayo umeyaona ndani ya muda mfupi tu ambao uko hapo ukingoja kusafiri, lakini kuna wanaoona mambo hayo kila iitwapo siku, na yanachefua!...

Shirika hili ni kama kifaranga kilichokosa mama Mlezi!...Ndege hiyo uliyoiona inafanya kazi hadi inatia huruma!..Ikitoka hapo Dar inaenda huko KIGOMA, inarudi Dar, then Arusha, then Zanzibar, then Dar, na wakati mwingine iunganishe Mwanza, ndo ije kulala Dar...!

Actually NDEGE hIyo ni kama punda MWAMINIFU SANA anayefanya kazi bila ulalamishi, lakini aliyekosa malisho mema!...

Mungu Ibariki Tanzania ...Mungu ibariki Africa!

Wasiwasi wangu ni siku huyo Punda mwaminifu akichoka na akipandwa na hasira asije kubwaga kila kilicho mgongoni mwake.
 
Uongozi ni mbovu ikulu mpaka mitaani.kuongoza nchi si lelemama inahitaji wapiganaji wa kweli sio watu wanaowaza kuhujumu mali masaa 24.

viongozi wetu mda mwingi wanatumia kuwaza kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu kuliko maendeleo ya nchi.

sasa leo ndege inatengezewa huku abiria wanasubiri kama si kutafutia watu kupoteza maisha yao ni nini? yote yana tokana na uongozi mbovu ambao hawajui njia ya kutatua matatizo yanapotokea.
 
Watanzania ni watu wapole sana, hawajazoea kulalamika.... sana sana watasemea chinichini tu, then wanawachagua hao hao viongozi wabovu tena.
 
Huu ushoga wa rais kikwete na mwenzake makatta ndio umefikisha hapa walipo matokeo yake kila mtu kaaamua kuiba sasa,

huyo mkulu amepelekwa nic lakini anaenda chojoa million 1 kila wiki ya kujikimu pale wanapopokea pesa;haya mambo yanauzunisha kweli...kuna watu wameondolewa awajapewa ppf zao ...wameenda huko ppf wamekuta zaid ya mwaka na nusu awajapeleka pesa zilikuwa zinahifadhiwa kwenye account za wakubwa ;yapo madeni mengi yanakatwa hayapelekwi moja wapo ni lile lililotokea majuzi .bosi wao mmoja wa commercial alipouziwa nyumba na akiba pale boco.swala la kusikitisha...

Kunaitajika kufanyika auditin ya ajabu kuanzia kwenye acc mpaka kwenye tkt,..hivi sasa tkt zinauzwa pale nje na vijna wahuni kama njugu...unaelekezwa mpaka atakaekupokea..na kukupandisha juu...hapo kuna kampuni...majuzi mdogo wangu kaambiwa atoe laki 250, ya tkt na 50,000 ya kumpa mtu anaecheck watu ili aruhusiwe kwenda uwezi amini ndege ilikuwa imejaa watu 58 na atukuwa hata tumekata ..gafla nikaletewa tkt ina jina la mtu mwingine ..nkaambiwa nenda ukifika utamkuta kijana yuko hivi,..kweli nikampa wakanipa karatasi moja aakaenda nayo juu..,,,kuna kazi kubwa,huo ni uozo mdogo ...inaonyesha kumbe kuna uwezakano wa watu kuruka na tkt zaidi ya moja maana naamini mhusika alishaitumia iweje akitumia mwingine ionyeshe bado,...anyway sijui wanachofanya inapotumika ili ijuilikane;lakini kuna uozo mchafu mkubwa kwenye upande wa usimamizi wa tiketi..na sehemu za kuingilia,....

Majuzi wamewalaza watu kia masaa kadhaa mpaaka watu wanakuja ambiwa jamani goma liko kia linasubiri mkojo aka mafuta..watu wammegoma ,hili si geni kwa shirika lakini kuna hitaji la kurekebisha.,..watu wanaamua wanachofanya
 
HAYA MAMBO YANA MWISHO LAKINI!.....nahitaji kuwa raisi au waziri somewhere
 
Du..Mkuu kumbe una ndoto hizi?
Bora bwana...ukipata usinisahau kwenye ufalme wako...Ufisadi tutakaoanzisha sisi si mkali kama huu wa hawa jamaa wa sasa!..huh!
 
Mkuu, Geoff, hayo umeyaona ndani ya muda mfupi tu ambao uko hapo ukingoja kusafiri, lakini kuna wanaoona mambo hayo kila iitwapo siku, na yanachefua!...

Shirika hili ni kama kifaranga kilichokosa mama Mlezi!...Ndege hiyo uliyoiona inafanya kazi hadi inatia huruma!..Ikitoka hapo Dar inaenda huko KIGOMA, inarudi Dar, then Arusha, then Zanzibar, then Dar, na wakati mwingine iunganishe Mwanza, ndo ije kulala Dar...!

Actually NDEGE hIyo ni kama punda MWAMINIFU SANA anayefanya kazi bila ulalamishi, lakini aliyekosa malisho mema!...

Mungu Ibariki Tanzania ...Mungu ibariki Africa!

Well said PJ, ile ndege ni punda mwema sana kwetu.... tuombe mungu punda huyo asije akaangusha mzigo maana itakua mbaya sana
 
Du..Mkuu kumbe una ndoto hizi?
Bora bwana...ukipata usinisahau kwenye ufalme wako...Ufisadi tutakaoanzisha sisi si mkali kama huu wa hawa jamaa wa sasa!..huh!
yaah maan!I NEED IT MEN....SERIOUS NA KUTOKA MOYONI.kuna mabadiliko ambayo ninaamini nikiyafanya mwenyewe tutaenda....!
 
HAYA MAMBO YANA MWISHO LAKINI!.....nahitaji kuwa raisi au waziri somewhere

unanikumbusha wakati joshua akiwa mzee MUNGU AKAMKUMBUSHA JOSHUA UNAZEEKA MBONA NCHI IMEJAA MALI,INAITAJI UONGOZI,,,KUMBE NA JF WAMO
MKULU SIJUI KAMA HILI LA ATC LITAISHA,...NI KAZI KUBWA SANA
NAKUPA KAMFANO KADOGO UKACHAKATUE MWENYEWE MCHINA ALIFIKA PALE AKIWA NA LENGO LA KUICHUKUA ATC.AKAONGEA NA WAZIRI WETU WA MUM ,KALAMBWA,...AKAAIDIWA AKIJA ANAKABIDHIWWA AKIWA HUKO AKATANGAZA ATAITAJI 3 TOPS ../..MKURUGENZI ,CFO,NA COMMERCIAL WAWE EXPERTS ,...WADANGANYIKA WAKAENDA KWA WAAZIRI NA KUMDANGANYA YULE JAMAA ANA JIPYA TAPELI TU WATU TUMECHUNGUZA ...NA MANENO KIBAO KUMBE WATU WANALINDA POST ZAO,..ULIMBUKENI WA WAZIRI WETU NAE KAENDA KUONGEA PUMBA KWA RAIS,...SASA WEWE MMEKUBALI KUPOKEA KILINDA UCHUMBA""ZILE NDEGE MBILI NDOGO WALIZONANZO""halafu unakimbia NDOA huo si upuuzi jamani,..
kwa watanzania kama bikira ashakutoa saa nyingi...matokeo yake sikiliza hili
Lile ndege kubwa lilioleta mzozo liko uko ufaranza kwa marekebisho inavyosemekana wameamua kuweka ndege za hawa wachina hizi mbili kama guarantee ikitokea kushindwa kuilipia..kisa serikali kuchomoa kutoa guarantee.......nchi italiwa na wenye nchi

HOSIANA JUU MESIA
 
agrrrrrrrrrrrrrrrh!nasikia hasira miye.ngoja niondoke zangu.NICE WEEKEND
 
Mkuu be specific hapo kwenye red maana kuna organization nyingi tu wanatumia majina hayo!!

ni kweli mkulu wapo

RAIS
WA CHAMA CHA WALALA UCHI TANZANIA (CCWUT)

WA CHAMA CHA JAMII (CCJ)

WA CHAMA CHA WANAUME WANAOPIGWA NA WAKE ZAO(CCWWW)

na mengineyo mengi.......

Karibu mkulu natumain rais yako ilikuwa mpambano na ile nkulu loh
hilo sahau ama kubali kulala yuchi bagamoyo unayaweza yakhe??
 
agrrrrrrrrrrrrrrrh!nasikia hasira miye.ngoja niondoke zangu.NICE WEEKEND

mkulu wewe ndie joshua na kaleb wetu wa kutufikisha kaanani!!!
unachapa lapa mapema...ama unawahi ile mambo yetu......
nsalimie sana mwambie tumenmis....
u2
 
Suluhisho la matatizo ya ATC moja ni serikali kubeba madeni yote ya nyuma na pili iajiri uongozi[siasa iwekwe kando] kutokana na qualification, experience na competence[ hata ikibidi kutoka nje ya nchi] Halafu ajira zote ziwe na perfomance contract ambapo kipimo ni tija na malengo matokeo ni motisha. Mashirika yetu yote yalishindwa kwa sababu uteuzi ni wa kiserikali/siasa halafu uwekezaji wa mtaji ni duni. Hebu tuwaulize Ethipian na Kenya Airways wameweza vipi???
 
....Nimeingia ndani nimelegea.naiona ndege hapa inatengenezwa bado,na haijulikani itapona lini.hofu yangu ni usalama wa hawa abiria kama watapaa ....

Poleni abiria. Na huo uswahili wa ATC wa kutengeneza ndege hapo hapo uwanjani abiria wakishuhudia siuelewi
 
Huu ushoga wa rais kikwete na mwenzake makatta ndio umefikisha hapa walipo matokeo yake kila mtu kaaamua kuiba sasa,

huyo mkulu amepelekwa nic lakini anaenda chojoa million 1 kila wiki ya kujikimu pale wanapopokea pesa;haya mambo yanauzunisha kweli...kuna watu wameondolewa awajapewa ppf zao ...wameenda huko ppf wamekuta zaid ya mwaka na nusu awajapeleka pesa zilikuwa zinahifadhiwa kwenye account za wakubwa ;yapo madeni mengi yanakatwa hayapelekwi moja wapo ni lile lililotokea majuzi .bosi wao mmoja wa commercial alipouziwa nyumba na akiba pale boco.swala la kusikitisha...

Kunaitajika kufanyika auditin ya ajabu kuanzia kwenye acc mpaka kwenye tkt,..hivi sasa tkt zinauzwa pale nje na vijna wahuni kama njugu...unaelekezwa mpaka atakaekupokea..na kukupandisha juu...hapo kuna kampuni...majuzi mdogo wangu kaambiwa atoe laki 250, ya tkt na 50,000 ya kumpa mtu anaecheck watu ili aruhusiwe kwenda uwezi amini ndege ilikuwa imejaa watu 58 na atukuwa hata tumekata ..gafla nikaletewa tkt ina jina la mtu mwingine ..nkaambiwa nenda ukifika utamkuta kijana yuko hivi,..kweli nikampa wakanipa karatasi moja aakaenda nayo juu..,,,kuna kazi kubwa,huo ni uozo mdogo ...inaonyesha kumbe kuna uwezakano wa watu kuruka na tkt zaidi ya moja maana naamini mhusika alishaitumia iweje akitumia mwingine ionyeshe bado,...anyway sijui wanachofanya inapotumika ili ijuilikane;lakini kuna uozo mchafu mkubwa kwenye upande wa usimamizi wa tiketi..na sehemu za kuingilia,....

Majuzi wamewalaza watu kia masaa kadhaa mpaaka watu wanakuja ambiwa jamani goma liko kia linasubiri mkojo aka mafuta..watu wammegoma ,hili si geni kwa shirika lakini kuna hitaji la kurekebisha.,..watu wanaamua wanachofanya
Mwanahalisi a.k.a. ABUNUASI una data za uzushi za ATCL!! Walikufanyaje hasa Mattaka na JK?
 
Back
Top Bottom