Vituko vya abunuasi ni noma

siku moja Abunuas kamkodishia muhindi moja vyumba kwenye ghorofa yake ila yeye anakaa chin muhind juu.sasa abunuas akataka kuuza ile ghorofa muhind akakubal kununua juu tu na hivyo abunuas kumfanya muhind anunue yote akaanza kumfanyia vituko mara abomoe ngaz za kupandia muhind akajenga zake,abunuas akafanya vituko ving muhimd anunue ghorofa ya chin ikashindikana mwishowe akamwita muhind akamwambia nimewaita mafundi wabomoe ghorofa yangu ya chin shika yako ya juu usije ukasema sikukwambia.muhind hoi kwa presha

Hebu hariri kazi hii ya mikono yako.Mkuu,kwani kiswahili ni kigumu kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom