Vituko nilivyokutana navyo mwisho wa mwaka 2011

Heri ya mwaka mpya mkuu. mi nimependa ya kwa mganga nitakutafuta unipe ramani mkuu. hata neno linasema jitahidi nami nitakusaidia mkuu.

nawe pia nakutakia mwaka mpya mwema,ramani nitakupa ya kwenda mpaka kule.Nalog off
 
dah! we mtu nimekusaka mpaka basi angalia inboksi yako ujionee,heri ya mwaka mpya mkuu,karibu tena jamvini.dah! leo niko na furaha sana na nafikiri siku yangu itaisha vizuri kabisa.
nashukuru sana ndugu yangu,nimekuta ujumbe na nimekujibu kwa yale yaliyo ndani ya ufahamu wangu.Nalog off
 
makubwa madogo yana nafuu! Hana dili za mauaji ya albino huyo mganga?@washawasha
hana deal hilo ndugu,uchawi wake hawezi kuua maalbino wala machotara,yeye anaua wazungu/waarabu/wachina/wahindi/waafrika na wale wote ambao hawajachanganya rangi.Nalog off
 
Back
Top Bottom