Vituko Mapenzini

1. Ukibikiri, huyo ni wako tu, hata miaka mia ikipita.
2. Ukimkubali mtu inakuwa siri yako moyoni, ikimkataa unatangaza mji mzima
3. Unaye mpenda hakupendi, usiyempenda ndo kakuganda
hebu na wewe mwaga yako moja

si kweli.
 
Wawili kati yao kwa nyakati tofauti waliniambia kuwa I'll always live in them hata kama wakiolewa but still nitakuwa na nafasi ndani ya mioyo yao. Tatizo wangu wa sasa nilimkuta TAYARI, sijui naye alimwambia hivo mtu wake wa kwanza:doh:
 
Mkuu hayo ndio maisha, ni wachache sana walio oa wanawake waliowabikiri

Back
Top Bottom