Vituko Mapenzini

Buji, hivi wewe ni mwandishi wa udaku? Mbona una makasheshe sana?
 
1. Ukibikiri, huyo ni wako tu, hata miaka mia ikipita.
2. Ukimkubali mtu inakuwa siri yako moyoni, ikimkataa unatangaza mji mzima
3. Unaye mpenda hakupendi, usiyempenda ndo kakuganda
hebu na wewe mwaga yako moja

Hapo Namba moja mimi nimeoa kabisa
 
Hiyo ya kubikiri haina ukweli wowote. Sema asilimia kubwa, lakini siyo kila utakayebikiri atakuwa wa kwako milele. Kuna watu walibikiriana na wanaishi mtaa mmoja lakini hawapeani tena. Mkiona bado mnarudiana hata baana ya kuoa au kuolewa mjijue tu kwamba ninyi na malaya. Mtu asinambie eti amemrudia wa zamani kwa excuse ya kubikiri.
 
>Unayempenda hana hata senti tano, anaekupenda pedeshee la maana..
>ukiwa na hamu, ye hana, akiwa nayo we huna
>mara nyingi ni vigumu mtu kumtaja mpenz wake hadharan, hasa kama wapo wengi
>mkigombana na jina kwenye simu unachange! From myonly1 to fundi majeneza!
 
UNAZIDISHA UTATA..... Unadili gani na fundi majeneza?
 
>Unayempenda hana hata senti tano, anaekupenda pedeshee la maana..
>ukiwa na hamu, ye hana, akiwa nayo we huna
>mara nyingi ni vigumu mtu kumtaja mpenz wake hadharan, hasa kama wapo wengi
>mkigombana na jina kwenye simu unachange! From myonly1 to fundi majeneza!

nmeipenda ya kumuita fundi majeneza
 
Back
Top Bottom