Lugha husemekana ni sahihi kama walengwa huielewa na kuifuata
wa ndugu hii sio bongo, ata kama wabongo mambulula lakini hii too much, Hii kitu ni ya Kongo DRC maeneo ya Mbujimayi, wao wanatumia faranga (franc) na mara nyingi maeneo kisangani na mbujimayi na goma wanaangaliga mechi kwenye vilabu kwa faranga 300 mpaka 500daah wabongo sijui tumelogwa au nini yaani hata kuandika vizuri majina ya timu ishu. tunaweza ni nini sasa?
Labda hujui maana ya lugha.Au labda unafikiri lugha ni lazima iwe ile unayoifahamu wewe.Au labda hujui kuwa si kila lugha ni rasmi.acha kutetea ujinga..na kwa bahati mbaya utakuta huyo aloandika kamaliza darasa la saba..ts so sad.
wa ndugu hii sio bongo, ata kama wabongo mambulula lakini hii too much, Hii kitu ni ya Kongo DRC maeneo ya Mbujimayi, wao wanatumia faranga (franc) na mara nyingi maeneo kisangani na mbujimayi na goma wanaangaliga mechi kwenye vilabu kwa faranga 300 mpaka 500
Kwahiyo hiyo hapo sio lugha rasmi.??na wew ndo wale wale tu na elimu zenu za kukalili.Labda hujui maana ya lugha.Au labda unafikiri lugha ni lazima iwe ile unayoifahamu wewe.Au labda hujui kuwa si kila lugha ni rasmi.