Vituko hivi vya "Democrasia ya vyama vingi vya siasa Afrika" ni tishio la Mshikamano

Zhule

JF-Expert Member
May 22, 2008
356
7
Natumia inverted commas nikiwa na maana ya doubt kwamba tulichonacho hapa Afrika haistaili kuitwa demokrasia". Hivi hii demokrasia bandia ni nani aliyeileta Africa?

CCM karibuni walikuwa wana andika No. za kadi za kupiga kura kwa 'wanachama' wake sina hakika kama ni wanachama tu au la. kwa nini? sijui.
Leo kuna kupiga kura BURUNDI. Rafiki yangu wa burundi amekuja kwangu ameniomba ni scan kitambulisho chake cha kupigia kura. why? kwa sababu anaituma ubalozini kwao ili zitumwe nyumbani mtu aende 'kupiga kura kwa niaba yake'. Anasema chama chake cha siasa ndo kinachotawala sasa hivi.

Rafiki yangu ambaye ni lecturer Togo ananiambia kwamba mitihani chuo kikuu kwao ni lazima isahihishwe na ma-lecturer wawili hadi wa tatu wa vyama tofauti. Why? kuzuia mwalimu kumpendelea mwanafunzi anayetoka kwenye chama chake cha siasa.Anasema watu wamegawanyika ki vyama hadi makazini.
Hii article https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/65697-ccms-assault-on-democracy-must-be-repelled.html inaonyesha kwa ufupi kuwa authority ya wananchi kuwa wenye nchi haipo tena. Na uhuru hata ndani ya chama kinacho tawala pia haipo ila kuna 'ghosts' waliyoshikilia nchi kwa migongo ya chama. Je hivi vituko tunahitaji kweli vyama vingi vya siasa? Hivi tulikuwa tayari kabla ya kuadopt huu mfumo? Hawa ma-ghost tutaepukana nao vipi maanake hata ndani ya upinzani wapo ukiwapa nchi tu utawaona.
 
Back
Top Bottom