vitu vya restaurant vinauzwa kwa pamoja

mabwana

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
307
316
nimeac¨ha wazo la kufungua restaurant vitu vinauzwa kwa pamoja
oven ya gas
machine ya kukandia unga 20kg
juice machine milango 3
ovrn ya kuku wa kuchoma
jiko la viazi ya umeme
machine ya kahawa
salad cutter
hot display ya umeme
hamburger maker
na vingenevyo

biashara ya namna hii unaweka model ya hivyo vifaa, bei na picha na unaelezea kama ni vipya ama vimeshatumika lakini hii ya kusema juujuu ni ngumu kwenye biashara

Tabu kweli kweli!!

Post ya kumi leo naona watu wanaingia na kuanzisha thread ambayo haieleweki!!

Mkuu, kama unaweza kurekebisha fanya hivyo, weka na namba ya simu!!

Haeleweki huyo, nahisi amebadili maamuzi , hauzi tena, atatumia nyumbani kwake!

nimeac¨ha wazo la kufungua restaurant vitu vinauzwa kwa pamoja
oven ya gas
machine ya kukandia unga 20kg
juice machine milango 3
ovrn ya kuku wa kuchoma
jiko la viazi ya umeme
machine ya kahawa
salad cutter
hot display ya umeme
hamburger maker
na vingenevyo

bei pliz

wana jamii vitu ni kukodi malipo ya mwezi sio vya kuuza mwenye kutaka kununua
sawa picha atapata avione

Sa kwann ulianza kusema unauza ungesema unakodisha pia hata kukodisha unaweka na bei ili mtu ajue inalipa au la

Similar Discussions

Back
Top Bottom