Vitu Vitatu naam Vinne ambavyo vinakukera katika maisha ya kawaida ya MMU

Unaweza kufikiria vitu vitatu au vinne ambavyo kwa kweli kwenye mahusiano watu wanakubali kuishi navyo lakini kwa kweli vinakera sana. NI vitu ambavyo unatamani mwenzako angeweza kuvibadilisha lakini baada ya muda umeamua kukubali kuwa huo "ndio" mzigo wako. Umejifunza kuishi navyo lakini kwa kweli ungeweza kuishi bila kuwa navyo. Kwa mfano watu wengine wanakereka na vitu kama kukoroma, kuimba imba, kulala mapema, kuzungumza usiku wa manane na maswali yanayoanza na "nikuulize swali" n.k Hivi siyo vitu vinavyohusiana na watu wengine (siyo mambo ya kucheat n.k) bali vijitabia, mazoea, mambo na hata vijimambo ambavyo ni "kero" kama zile "kero za Muungano".

Hapa tunaweza kufundishana maana wengine kuna vitu ambavyo hawajali kabisa na wala hawafikirii kuwa ni "kero"...
Ebwana ee moja ya vitu ambavyo vinanikera ni kule kulalamikiwa na Mke wangu kwamba ni siku kibao hujaniambia "I LOVE U" imefikia mahala nimetegesha kwenye simu inikumbushe kufanya hivyo kila siku. Hii inanikera japo simaanishi kwamba simpendi mke wangu
 
This love This hate

In a time of need
Only few can see what's wrong
millions tend to crawl
But only those who choose can make it through this all
Only few can sing like lions
Cuz we sing until were gone
And we've got each others backs
Until we're back where we belong
A woman held my shield
And through the battles we did wrong
A man would tell me wisdom through the static we were gone
and maybe when we' re gone our names will echo through the stars
Every starts got its ending
Even when we've learn to rise above it all
[Chourse]
These lies are leading me astray
It's to much for me to stay
I don't wanna live this destiny
It goes on endlessly
I see you so please stay strong
I'll sing you one last song and then I'm gone
I don't wanna live this destiny
It goes on endlessly
And we once also had a story too
You can see that only good men come in few
Even in our greatest moments
We may win or we may lose
Every songs got its rules
You've got to learn to make it through
Maybe one day we can choose
How it feels to be a woman or a man
Without rules we're buried underneath
There's a picture glue
So when my body burns in ashes only sing the truth

Let these words strengthen all your views
Because these words were meant for you
[Chourse]
And now I'm floatin' right above my coffin as it closes
I look down and I see sigh
As she's cryin on my mama's shoulder
I look up into the sky as the gates of heaven open
Somethings wrong is this destiny or am I going home
What will happen to my soul
Will I come back I don't know
Will you meet me when it's over let me know
You can meet me here in heaven
Don't you ever let me go
This love, this hate
Is burning me away
[Chourse] x2
This love, this hate
It's burning me away
This love, this hate
Is burning me away

Unaweza kufikiria vitu vitatu au vinne ambavyo kwa kweli kwenye mahusiano watu wanakubali kuishi navyo lakini kwa kweli vinakera sana. NI vitu ambavyo unatamani mwenzako angeweza kuvibadilisha lakini baada ya muda umeamua kukubali kuwa huo "ndio" mzigo wako. Umejifunza kuishi navyo lakini kwa kweli ungeweza kuishi bila kuwa navyo. Kwa mfano watu wengine wanakereka na vitu kama kukoroma, kuimba imba, kulala mapema, kuzungumza usiku wa manane na maswali yanayoanza na "nikuulize swali" n.k Hivi siyo vitu vinavyohusiana na watu wengine (siyo mambo ya kucheat n.k) bali vijitabia, mazoea, mambo na hata vijimambo ambavyo ni "kero" kama zile "kero za Muungano".

Hapa tunaweza kufundishana maana wengine kuna vitu ambavyo hawajali kabisa na wala hawafikirii kuwa ni "kero"...

umeongea Biblical language, tarajia wachangiaji kiduchu mzee
 
Kuuliza uliza maswali yenye majibu' sjui hizi sim niweke hapa eee? Ndo tunaenda kuoga wife?. .....na kingine kutoa hadith kwa mafungu' labda tuseme anasema aisee wife leo nimepata bonge la zali? Unauliza kwa shauku ehe lipi ilo? Unaambiwa tulia kwanza afu anaanza kuongea na kid! Baadae anasema ehe nliishia wapi vile? Khaaaaa nachoka kabisa.
 
Ebwana ee moja ya vitu ambavyo vinanikera ni kule kulalamikiwa na Mke wangu kwamba ni siku kibao hujaniambia "I LOVE U" imefikia mahala nimetegesha kwenye simu inikumbushe kufanya hivyo kila siku. Hii inanikera japo simaanishi kwamba simpendi mke wangu
ahahaaa dah nachukia ilo neno loh? angejua ?????????
 
Kuuliza uliza maswali yenye majibu' sjui hizi sim niweke hapa eee? Ndo tunaenda kuoga wife?. .....na kingine kutoa hadith kwa mafungu' labda tuseme anasema aisee wife leo nimepata bonge la zali? Unauliza kwa shauku ehe lipi ilo? Unaambiwa tulia kwanza afu anaanza kuongea na kid! Baadae anasema ehe nliishia wapi vile? Khaaaaa nachoka kabisa.
ahahaaaaaaaaaaa labda kapata hawara alitaka kutoa story then anashtuka wrong person loh?
 
Dada mkubwa Tena hii ya mpira ndio ugonjwa wa wengi yani hata km kulikuwa na outing ndio imekufa ili mradi timu yake imefungwa unaweza ukapokea hata msg ya leo hatuwezi kuonana!lol.

Mh! Hapo kwenye kampira ni noma, kwa kweli Man Utd Ikifungwa ni balaa tunaweza tusisemeshane hadi kesho yake. Ila nilishamwambia kabla ya kuwa na mahusiano naye kuwa mimi ulevi wangu ni mpira tu.

Naona mmenipata kabisa....lol... Hivo basi sina ujanja but kuvumilia na kuzoea...
 
Mh! Hapo kwenye kampira ni noma, kwa kweli Man Utd Ikifungwa ni balaa tunaweza tusisemeshane hadi kesho yake. Ila nilishamwambia kabla ya kuwa na mahusiano naye kuwa mimi ulevi wangu ni mpira tu.

At least kwangu ni vice versa,akifungwa anataka kupoozwa
 
nakerwa na vitu hivi.
1.kupita siku nzima bila kufanya mapenzi
2.kwenda nyumba ya ibada
3.mgao wa umeme
Nalog off
 
At least kwangu ni vice versa,akifungwa anataka kupoozwa

Nafikiri ubunifu wa gf/mke unahitajika pia, inawezekana kabisa kumbadilisha mtu mudi yake cha msingi kama ni out make sure unambembeleza muende sehemu ambayo hawezi kutana na marafiki wa karibu ambao watamtania na ikiwezekana azime simu yake.
 
Back
Top Bottom