Vitu vimeibwa atakae vipata donge nono

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
WADAU TAARIFA MUHIMU.
Mimi Juma Mbega namba ya simu 0784 708970 wa Keko Juu. Dsm.
email: juma.mbega@yahoo.com

VITU VILIVYOIBIWA
DSTV - 1. DECODER DUE VIEW MOJA
DSTV - 2. SINGLE DECODER MOJA
- 3. RECEIVER MEDIA COM
- 4. DEC SONY VHS.

HIVI VITU VIMEIBIWA TAREHE 18/06/2009 SAA NANE MCHANA BAADA YA KUFANYIWA TIMING NYUMBANI KWANGU.

KWA YEYOTE ATAKAE KUTANA NAVYO AU MTU KUMUUZIA AMKAMATE NA ZAWADI NONO ITATOLEWA KWA YEYOTE ATAKAYE FANIKISHA HILI ATOKE TAARIFA KITUO CHA POLISI CHOCHOTE KILICHO KARIBU.

NAKALA: POLISI KANDA MAALUM, POLISI TEMEKE, DSTV,GTV,

TAARIFA IPO KITUO CHA POLISI KEKO.
 
Pole sana mkuu
Natumaini DST watatoa ushirikianotosha kwani kama wanahifadhi vyema data za wateja basi watamjua anayeitumia kwa sasa.

Wabongotuepukane na hii tabia ya kununua mali za wizi(ingawa zina unafuu wa bei)
 
Dah pole sana mkuu ngoja kuna jamaa nilimwambia anitaftie za dili akileta tu na mdaka labda ashtuke...poa mkuu tupo pamoja.
 
Ok kwa walio nje ya nchi unajua haya mambo ya home sio nje sasa kwa walio nje mtulie tusubiri wadau wanatoa ushirikiano mzuri kama huyu Fidel80 ni mfano mzuri wa kuigwa. mungu awabariki.
 
ngoja kuna jamaa nilimwambia anitaftie za dili akileta tu na mdaka labda ashtuke...poa mkuu

Daa....hakiya nani...mkuu Fidel nimecheka sana na hiyo post yako!.....Yaani mkuu ulikuwa unatafuta ZA DILI=ZA KUIBA....sasa akikuletea si atakuwa kameet your requirement mkuu....?
 
sasa mkuu mbona unapost kila sehemu the same thread? Nimeshaiona sasa hii forum ya tatu,, thats kind of flooding!
 
Pole kaka,mi imenigusa sana post yako kwani pia niliwahi kufanyiwa mchezo huo wakati nipo kibaruani mchana kweupe,uchungu wake naujua.! tutajulishana taarifa zikipatikana,usijali.
 
WADAU za asubuhi?
nime post jana tokea jana na leo narudia tena maana huyu jamaa aliyeviiba katurudisha nyuma sana ndio maana tumetangaza DONGE NONO

WADAU TAARIFA MUHIMU.
Mimi Juma Mbega namba ya simu 0784 708970 wa Keko Juu. Dsm.
email: juma.mbega@yahoo.com

VITU VILIVYOIBIWA
DSTV - 1. DECODER DUE VIEW MOJA
DSTV - 2. SINGLE DECODER MOJA
- 3. RECEIVER MEDIA COM
- 4. DEC SONY VHS.

HIVI VITU VIMEIBIWA TAREHE 18/06/2009 SAA NANE MCHANA BAADA YA KUFANYIWA TIMING NYUMBANI KWANGU.

KWA YEYOTE ATAKAE KUTANA NAVYO AU MTU KUMUUZIA AMKAMATE NA ZAWADI NONO ITATOLEWA KWA YEYOTE ATAKAYE FANIKISHA HILI ATOKE TAARIFA KITUO CHA POLISI CHOCHOTE KILICHO KARIBU.

NAKALA: POLISI KANDA MAALUM, POLISI TEMEKE, DSTV,GTV,

NB: WADAU WAISHIYO NJE YA NCHI HAWAUSIKI KWANI FIELD IPO HOME TANZANIA.

TAARIFA IPO KITUO CHA POLISI KEKO

Ndugu yetu Origino pastor sasa unatuchanganya......... Umetuma post zaidi ya kumi kuanzia jana kwa kitu hichohicho... tuliza mzuka!!! Peleka na magazetini na clouds FM

Inaanza kuboa
 
utavipata kaka, kama hutavipata kwa kuwa uko mzima na mchapa kazi basi utanunua vingine. kikubwa uhai upo.
 
Ndugu yetu Origino pastor sasa unatuchanganya......... Umetuma post zaidi ya kumi kuanzia jana kwa kitu hichohicho... tuliza mzuka!!! Peleka na magazetini na clouds FM

Inaanza kuboa
naona painkiller kakupa thanks.......
 
Ndugu yetu Origino pastor sasa unatuchanganya......... Umetuma post zaidi ya kumi kuanzia jana kwa kitu hichohicho... tuliza mzuka!!! Peleka na magazetini na clouds FM

Inaanza kuboa

Kwani vitu vyote hivyo ni Tshs ngapi, ameweka hata kwa mzee wa vacation kule kwa michuzi.....ajipange upya anunua vingine....hivyo vipo Kinyerezi jamaa wanatumia...!
 
Donge nono kiasi gani?

ili uweze kukalukuleti kama inalipa urudishie tu mwenyewe, umabahati hawa mapasta huwa hawjui kusoma al badir, ingekuwa ni orijno ustaadh asingepoteza muda kuandika thread ni kupiga mkeka unashangaa vitu vianrudi kimyakimya.
 
Wadau wenzangu nashukuru kwa support zenu fresh kwa sana sasa inabidi ka mchezo haka tukakomeshe kama Mhe. Kobe naye kumbe aliibiwa na jamaa Juma Mbega Ameibiwa sasa Mhe. Next level akimuweka jamaa kitanzini lazima tumuanike hadharani au mnasemaje wadau. Msione nimepost kwa sehemu nyingi ni matokea ya kuwa na machungu na nyie wadau HAMCHANGII mawazo mengi ili nami nifarijike na hili Bonge la Tatizo maana nilikuwa naonyesha mpira sasa du! kauchumi kamefulia.
 
Pole dugu yangu kuibiwa kunauma mno! Mtu unajinyima, unanunua mali zako then Kenge wanachukua kirahisi tu!
 
Daa....hakiya nani...mkuu Fidel nimecheka sana na hiyo post yako!.....Yaani mkuu ulikuwa unatafuta ZA DILI=ZA KUIBA....sasa akikuletea si atakuwa kameet your requirement mkuu....?

hahahaha yeah si unajua Bongo bana unaishi kwa ubongo tu nilienda DSTV bei yake duh usipime mkuu.
 
Back
Top Bottom