Vitu vidogo tu lakini..

Chungwa linauzwa sh.100 na Embe linauzwa sh.200.Nimenunua chungwa kwa sh.100.Mkononi mwangu nina chungwa lenye thamani ya sh.100,muuzaji nimemkabidhi sh.100 yangu.Nikimpa chungwa,atakuwa na sh.100 yangu niliyompa mwanzo pamoja na chungwa langu ambavyo thamani yake jumla ni sh.200.Je ninastahili kupewa embe lenye thamani ya sh.200?

Hii ni sawa kununua kitu cha mia sita, unatoa buku na muuzaji akikuuliza 'una shilingi mia unipe nikupe mia tano'. unamwambia tu kata huko huko kwenye buku yangu! ANAWEZA KUPA MIA TANO??
 
Dah umetisha mkuu
Hii ni sawa kununua kitu cha mia sita, unatoa buku na muuzaji akikuuliza 'una shilingi mia unipe nikupe mia tano'. unamwambia tu kata huko huko kwenye buku yangu! ANAWEZA KUPA MIA TANO??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom