vitu used vnatafutwa........

majogajo

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
317
44
yeyote anaeuza vifaa used yaani computa, photocopy, printers kwa bei ya jumla na rejareja.ntaka kujaribu hii biashara.........pia nataka kuwa mnnuzi wa jumla wa computer devices kama flash, mouse, external disk, empty cds,keyboards na vingine vingi. naomba aniandikie bei ya jumla na rejareja na maeneo vinapopatikana(mawasiliano kwa ujumla) pia yeyote anaweza akanipa ushauri juu ya kufaya biashara hii. niweze kununua computer deviceskwa jumla na niuze kwa rejareja.
 
wajaribu wale serengeti freight fowarders kuna wakati walitangaza kwa michuzi wanauza hivyo vitu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom