Vitu nisivyovipenda nikiwa naendesha.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,344
Sipendi mwendesha pikipiki awe mbele yangu.
Sipendi tabia ya taxi kuchomekea bila sababu ya msingi,
Sipende Bajaj zinavyoendeshwa.
Sipendi guta wanavyong'ang'ania kutumia barabara kubwa wakati service roads zipo.
 
Bji acha tu,tena unapopita pale mitaa ya kariakoo,mara people,bajaji,guta,tax,daladala,yanai balaaaaa
sipendi mwendesha pikipiki awe mbele yangu.
Sipendi tabia ya taxi kuchomekea bila sababu ya msingi,
sipende bajaj zinavyoendeshwa.
Sipendi guta wanavyong'ang'ania kutumia barabara kubwa wakati service roads zipo.
 
Sipendi mwendesha pikipiki awe mbele yangu.
Sipendi tabia ya taxi kuchomekea bila sababu ya msingi,
Sipende Bajaj zinavyoendeshwa.
Sipendi guta wanavyong'ang'ania kutumia barabara kubwa wakati service roads zipo.

We acha tu , kule kwetu banana wauza mayai wa kikurya ni wababe ile mbaya, awakawii kuvunja vioo vya magari.
 
ni ushamba tu unawasumbua na vimtumba vyenu. mnadhani ukiokota kamtumba ka gari basi wewe peke yako unastahili kuachiwa barabara? hamjui hata kuku ana haki ya kutumia barabara?

kwa taarifa yenu hata kupigia watu honi hamruhusiwi, unampigia akupishe kwani barabara yako pekee? huyo unayetaka akupishe sio mlipa kodi?

tena mnagonga watu hata kwenye alama za punda milia! eti kisa umempigia honi hakupisha, mna laana nyie, hizo rushwa zenu mnazowapa trafiki ndio tiketi yenu ya kuendea kuzimu.

acheni ushamba
 
Bji acha tu,tena unapopita pale mitaa ya kariakoo,mara people,bajaji,guta,tax,daladala,yanai balaaaaa

yani utatamani kulia guta wanakaa katikati ya barabara na usijeukakosea likakugonga linaumiza gari kweli

imaging guta katikati, pembeni baiskeli or pikipiki mbele daladala limechomeka khaa
 
We acha tu , kule kwetu banana wauza mayai wa kikurya ni wababe ile mbaya, awakawii kuvunja vioo vya magari.

yani nikitoka kitunda unakumbana nao wanataka kukuovateki kapakia trei za mayai kibao wanajaa katikati ya barabara
 
Sipendi madem wanokodoa macho kujua nani anendesha na amekaa na nani. Hivi kwa nini ?
 
ni ushamba tu unawasumbua na vimtumba vyenu. mnadhani ukiokota kamtumba ka gari basi wewe peke yako unastahili kuachiwa barabara? hamjui hata kuku ana haki ya kutumia barabara?

kwa taarifa yenu hata kupigia watu honi hamruhusiwi, unampigia akupishe kwani barabara yako pekee? huyo unayetaka akupishe sio mlipa kodi?

tena mnagonga watu hata kwenye alama za punda milia! eti kisa umempigia honi hakupisha, mna laana nyie, hizo rushwa zenu mnazowapa trafiki ndio tiketi yenu ya kuendea kuzimu.

acheni ushamba

Do, we lazima utakuwa FISADI, Maana asilimia 95 ya watanzania wanaendesha magari mitumba ya JAPAN, Japo wajapani wenyewe wameipa grade lakini bado ni mitumba. Na sasa siku hizi wengi wananunua kutoka Zanzibar, ile isiyo na JAAA. Ukitaka kushuhudia we kaa katika kituo cha Dala2 asubuhi utaona mitumba inavyofukuzana.

Kuku barabarani na Haki? LOL , Nafikiri umekosea hapa tunazungumzua barabara ya magari na siyo Pedestrians. Je wewe unaweza kutembea kati ya barabara wakati gari inakuja?
 
ni ushamba tu unawasumbua na vimtumba vyenu. Mnadhani ukiokota kamtumba ka gari basi wewe peke yako unastahili kuachiwa barabara? Hamjui hata kuku ana haki ya kutumia barabara?

Kwa taarifa yenu hata kupigia watu honi hamruhusiwi, unampigia akupishe kwani barabara yako pekee? Huyo unayetaka akupishe sio mlipa kodi?

Tena mnagonga watu hata kwenye alama za punda milia! Eti kisa umempigia honi hakupisha, mna laana nyie, hizo rushwa zenu mnazowapa trafiki ndio tiketi yenu ya kuendea kuzimu.

Acheni ushamba

asante kwa ujumbe wako mzuri, wenye tabia hizo naamini watajirekebisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom