Vitu kupanda bei..

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Wadau, naona mwaka tunauanza na kila kitu kikiwa bei juu....cheki mwenyewe..
1. Mchele.. 1900
2. Sukari...2000-2700
3. Maharage....1300-1500 na vingivyo vingi tuu..kwa sisi tulioanza maisha ya kujitegemea juzi....tunakatisha tamaaa tuuu
 
Japo hali ni ngumu kwa kiasi kikubwa mno, usikate tamaa. Pambana. Kupambana kutakuhakikishia kuishi, ukilegeza tu,.... mmhh .....,.
 
Toa mawazo yako nini kifanyike sio kulia lia.

Nyumba yetu tumekuwa walaji na sio wazalishaji tena,mpaka vitu vidogo kabisa tunavyohitaji kwa matumizi ya kila siku tunaingiza kwa hela ya kigeni ( mfano, vijiti vya kuchokonolea meno,wembe,juice,samaki,kuku,matunda,sukari,walinzi kama KK security etc), kwa mtindo huu shilingi yetu haiwezi kuwa imara hata siku moja.

Dogo chemsha bongo mpaka upate chanel,unaowalilia wako likizo mpaka 2015 watakapofungua ofisi.
 
Hiindo capitalist economy wakuu.

- Tuko kwenye mfumo wauchumi kikabaila, walicho nacho ndo wata weza kusavavivu

- Huu ni uchumi wakufanya kazi na kula kwa jasho lako, tulizoea ule mfumo wa kijamaa, wakuunazani kwa sasa dunia nzima hakuna tena nchi inayo practice pure socialismeconomy.

- HAPA SI KUKAA NAKULALAMIKA, NI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA MAALIFA YA HALI YA JUU MKUU, HIZO BEIUNAZO SEMA KUNA WATANZANIA WENGINE WANAONA SI KITU, NI KWA SABABU WANA PESA NAWANAFANYA KAZI KWA BIDII.

- Na serikali yetuhaina uweza wa kufidia hiyo bei so kilichopo ni kukomaa

- Na hii hali yavyakula kupanda bei si kwamba iko Tanzania pekee, na hapa ndo fulusa za kulimazinaibuka, lazima tuingie mapolini tuzalishe kwa ajili ya kuuza ndani na nje.

- ILA TUNAKO ELEKEATANZANIA PAMOJA NA KUWA NA MAENEO MENGI YA KULIMA ITABIDI KUAGIZA CHAKULAKUTOKA NJE YA NCHI, KWA NINI?

1. Nguvu kazi nyingivijana wamehamia mijini kuenedesha TOYO

2. Kazi ya kulimakuachiwa wazee peke yake

3. Watanzania wengikukimbilia biashara zingine tofauti na za kilimo na ufugaji. Watanzania wengiunakuta wanapenda waanzishe biashara tofauti na za kilimo, mfano
- Maduka ya kuuza vitukutoka china

Mabaa

Hoteli

Biashara ya mabasi nakazalika

4. Mashamba mengi sanakugeuzwa kuwa makazi ya watu ya kujenga nyumba, hii inaniuma sana ingawa hayokila mtu anahaki ya kufanya shamba lake atakavyo.

NATOLEA MFANO KILIMANJARONA ARUSHA

- Wa kuu si siri kwambaArusha ilikuwa ni moja wa wazalishaji wakubwa sana wa NDIZI HAPA TANZANIA,kulikuwa na mashamba mengi sana ya ndizi maeneo ya
- CHINI YA MLIMA MERU

- MTO WA
- Kwa sasa hali nitofauti kabisa MASHAMBA YAUZWA KAMA KARANGA NA WATU WANA ONDOA NDIZI NA KUJENGANYUMBA, KWA SASA ARUSHA NDIZI ZIMEPUNGUA SANA KUTOKANA NA MASHAMBA KUGEUZWAKUWA MAKAZI YA WATU

- Kilimanjro hivyohivyo, huku maeneo ya KIA kulikuwa na mashamba ya kufa mtu, kwa sasa naonamagodown na nyumba za kuishi, hii hali si nzuri kabisa wakuu

SERIKALI ISIPO KUJA NASHERIA KALI ZA ARIDHI ITABIDI IJI ANDAE KUAGIZA CHAKULA KUTOKA NJE

 
Wadau, naona mwaka tunauanza na kila kitu kikiwa bei juu....cheki mwenyewe..
1. Mchele.. 1900
2. Sukari...2000-2700
3. Maharage....1300-1500 na vingivyo vingi tuu..kwa sisi tulioanza maisha ya kujitegemea juzi....tunakatisha tamaaa tuuu
Tunaishi ili kula au kula ili tuishi!
 
2012 mimi na familia yangu
hatutanunua
1-mboga za majani
2-kunde
3-kuku
4-nyanya/viungo
5-unga wa sembe
2013
hatutanunua
1-umeme wa luku
2-petroli
3-mchele
4-mafuta yakula

tanzania mfumuko wa bei utazidi hivyo jiandae kuwa huru kwa kujitegemea
 
Back
Top Bottom