Vitu au sehemu gani TZ twaweza sema afadhali au at least kuna hope??

Ghost

JF-Expert Member
Apr 20, 2010
428
53
Kila kukicha kuna post hapa JF zaidi ya tano (5) ambazo zimeja lawama, kero, masikitiko, n.k

Leo ningependa tuzungumuzie vitu, sehemu, watu au mambo ambao yanatupa hope cc kama wananchi au nchi kwaujumla.

1. Asha Rose Migiro
2. Arusha (Mji)
3. _______

na list endelee...
 
Back
Top Bottom