Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,398
- Thread starter
- #41
Purple kwanza nataka ujue kwamba hakuna mtu mwenye sura mbaya, (Ni tafsiri tu zilizowekwa na jamii katika kuwabagua watu kwa misingi ya ubaya na uzuri). Mimi sikuzungumzia sura kama ndio kigezo ikiwa ni pamoja na hizo sifa nyingine.......... Nimezungumzia namna ya kuboresha muonekano wa mwanmke ili aweze kuwavutia wanaume.........Cha kushangaza wanawake wenye sifa zote hizo huwa hamuwaoi! Mnawatumia tu then at the end of the day mnawaacha mnaoa wanawake wa kawaida sana, afu mkishaoa mnaanza kuwacheat wake zake kwa kutoka na hao warembo..kwa nini hua hamuwaoi??eti Mtambuzi?
naona hapa watu wamekurupuka tu na kupotosha kile nilichozungumza....... mwanaume kwanza huvutiwa na mwanamke kisha ndipo anaanza kuchunguza tabia na mambo mengine, miongoni mw asifa zinazowavutia wanaume ni hizo nilizozitaja..... Au watu wametishwa na hizo sura za hao warembo hapo?
Lengo langu lilikuwa ni kuweka uhalisia.
Last edited by a moderator: