Vitu ambavyo huwapagawisha wanaume wamwonapo mwanawake.......!

Mimi jamani napenda rangi nyeusiiiiiii pia. Yaani mwanamke anavyozidi weusi ndo namfeel zaidi. Akiwa ka wale wakenya kabila gani sijui, inakua poa sana.
 
Kweli kabisa yan hapo kuna ka ugonjwa kangu..................... Lol.............................:mmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh we acha tu
 
wapendwa Mtambuzi na wengine,

ieleweke kuwa hakuna kanuni ya uzuri au mvuto kila mtu ana kitu fulani anachovutiwa na mwigine, tena vingine ni vichekesho kabisa. mfno, ulishasikia mtu akivutiwa na binti kwa sauti anazotoa anapotafuna chukula (yaani zile sauti za nyam nyam nyam...nyam)? au jinsi anavyokunja midomo yake wakati akitema mate? hapo ndipo ninapomuadhimisha Bwana Mungu wangu daima.

kwa hiyo wapendwa acheni kuleta hapa mambo ambayo mengine yako nje ya mtu binafsi, mfao, macho sijui ya aina gani, makalio, manyonyo, kiuno nk. hayo yote ni kazi ya Mungu, mnadamu hawezi kujiumba wapendwa. sana sana atakachoweza kufanya ni kuoga , kuvaa na kujipamba tu kama hali ya kiuchumi inaruhusu, zaidi ya hapo ni kumuonea tu binti wa watu, mnataka yeye afanyeje?? acheni kuwachanganya mabinti jamani.

mbarikiwe sana wapendwa,

Glory to God!
 
Last edited by a moderator:
mtambuzi vitu ambavyo umeonyesha ni vile vinaonekana kwa macho, je ambavo havionekani havina thamani???
 
Haya weeeeeee na sie mbele ziro nyuma hakujulikani ndio inakuwaje Anko? manake hata kwenye hao siko ila nyonyo linaweza kukufunika uso kwa ukubwa, nyonga ipo lakini makalio sikujaaliwa,sasa anko sijui itakuwaje....
 
Mim sina sifa hata moja kati ya ulizozitaja hapo juu, ila nawapagawisha sana wanaume (sijifagilii ila ndio hivyo). Nadhani ni ngumu kujua wanaume wanataka nini.

Kuwa ulivyo, usiishi kuimpress mwanaume.
 
Hao mnaowatafute nyie lazima uwe fisadi ndo uweze ishi nao yaani ni too much DEMANDING

Tuko pamoja kamanda. Hizo sifa zilizotajwa siyo na mwanamke ambaye anaweza kuwa mama wa watoto wangu bali ni mwanamke wa kwenda naye tu outing kwa wale vijana.
ONYO KWA VIJANA; Kamwe usijaribu kumpima mwanamke wa kuoa kwa hizo qualifications zilizotolewa kwa sababu zinapingana na qualities za mwanamke anayepaswa kuwa mke au mama watoto wako. Tabia na shape unayopenda wewe unayetaka kuoa ndio kitu muhimu haya mengine they won't make a good family unless unataka mke wa maonyesho
 
Cha kushangaza wanawake wenye sifa zote hizo huwa hamuwaoi! Mnawatumia tu then at the end of the day mnawaacha mnaoa wanawake wa kawaida sana, afu mkishaoa mnaanza kuwacheat wake zake kwa kutoka na hao warembo..kwa nini hua hamuwaoi??eti Mtambuzi?
 
Last edited by a moderator:
Mim sina sifa hata moja kati ya ulizozitaja hapo juu, ila nawapagawisha sana wanaume (sijifagilii ila ndio hivyo). Nadhani ni ngumu kujua wanaume wanataka nini.

Kuwa ulivyo, usiishi kuimpress mwanaume.
Kuna sifa huwa hazionekani kwa macho mpaka uonje. Napenda hizo!.
Kumbuka uzuri wa mkakasi .........................
 
Mtambuzi hapo kwangu hizo sifa zizifuatilii, wakati nipo Chuo Mwl wangu wa Sociology alituuliza swali, ni vigezo gani utamtambua mwanamke mzuri Duniani na ni nani anayeongoza Wanachuao tulianza Queen Elizabeth Marcos (enzi zetu alikuwa mke wa rsis huko Malasya) Winie Mandela ............. .............. Hadi 100 Wote tulikosa, Kitaalam ni MKEO, hakuna cha Queen Elizabeth au Winnie atakayekusaidia wakati unaumwa maana kuangalia kwa macho RUKSA lakini hawasaiidiii kwani wana mapungufu kibao.
 
katika zama hizi za ma-wig ya kila aina, suala la nywele sidhani kama ni big deal kwa akina dada... ni mwendo wa bandika bandua tu, leo ya kizungu kesho ya kihindi, keshokutwa ya kichina...
 
Hivi wanawake wote wangekua wanavaa mabaibui na kungekua hakuna saloo watu wasingeoana?
 
Kinachovutia zaidi ni "composition" ya vitu hivyo vyote (na vingine ambavyo hukuvitaja) kuliko kitu kimoja kimoja. Hii ndiyo inayofanya uwepo wa wanawake wazuri wengi lakini ukitizama utaona wazuri hao hata hawafanani.
 
Back
Top Bottom