Vitoto navyo vyaandamana

Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,899
4,623
Mawazo yangu nilikuwa nafikiri maandamano ni mpaka yapangwe na kutangazwa siku ndio yafanyike, kumbe sivyo.
Jana wanafunzi wa shule mbili za msingi wilayani Temeka waliandamana , wakitaka kupeleka kilio chao ikilu. Hii ni baada ya wenzao wawili kugongwa na pikipiki na gari hapo jana. Walikuwa wakiimba peoples power na kuitikiwa na wenzao mpaka kieleweke, tunataka matuta. Achilia mbali wabongo tunachofahamu ni matuta barabarani kupunguza speed ya magari tofauti na nchi za wenzetu wanaajiri watu maalumu katika vivuko vya mashule ama wanajenga madaraja ya juu ama ya under ground, hapa kwetu hata hilo la matuta halitekelezeki. Kilichonifurahisha sana kwenye hii habari ni pale kuona gazeti la majira limetoa picha ya police wakiwa wamewashikilia vitoto vitatu kuvipeleka kwenye karandinga eti hao ndio vinara wa maandamano. Tanzania tunaelekea wapi?
Natumia simu siwezi rusha picha iliyopo katika gazeti la majira, naomba yeyote atusaidie kuiweka hiyo picha hapa maana ndio utamu wenyewe.

Yana mwisho; mpaka kieleweke under "people's power". Hata watoto wana haki ya kuandamana, bila hivyo nani atawasikiliza hapa bongo?

pixtrans.gif

Hivi "vitoto" ndo viliondoa utawala wa wachache South Africa wakati wazee na Vijana wako club na kwenye sheebens wanastarehe kama siti tunavyokuwa chini ya muti au container bar

Hivi "vitoto" ndo viliondoa utawala wa wachache South Africa wakati wazee na Vijana wako club na kwenye sheebens wanastarehe kama siti tunavyokuwa chini ya muti au container bar

Ni kweli wakati kina ndugai na Simbachewene wakijisahaulisha kwa makusudi haki za uhai wa raia ghafla wataangukiwa na nguvu ya umama wa vitoto na vijajana wa nchi hii. Wao leo wanaamrisha polisi wawaue raia kulinda utawala dhalimu lakini siku ikifika hata risasi hazitatosha, kwani zingelitosha A. Kisini wasingelimwangusha kaburu.

kule SA vitoto vilipigwa sana ila baada ya udhalimu sasa hivi vile vitoto vinaonekana kuwa ni mashujaa...people's............................

Hawakawii kusema maandamano hayo yamechochewa na CDM.....magamba ni wavivu wa kufikiri mno.

Madereva wa Tunduma na Madereva arusha wote waliimba Peoplesssssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrr imeshaingia kwenye damu ya watanzania hakika hakuna kulala mpaka kieleweke

kwa ninavyo fahamu mimi maandamano ni mpaka yabarikiwe kisheria. Vinginevyo inakua ni mgomo au fujo tu zilizo pangwa na kundi la watu fulani. So kama tafsir hyo ni sahh basi wale watoto hawakuandamana bali walifanya mgomo. Na ndio maana askari waliwashikilia vhnara wa fujo hzo. Aidha ningependa kama wange wapiga virungu.....kama wangeendelea na fujo ni halali kutumia mabomu ya machozi....ndio mana hiyo ingeleta fundisho...yaani vitoto tu vinaanza upuuzi je vikikua?

Back
Top Bottom