Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
CCM ndo wana mfumo bora wa kupata wabunge wa viti maalum
Tuambie huo mfumo wa ccm ukoje?
CCM ndo wana mfumo bora wa kupata wabunge wa viti maalum
Wanaangalia mambo mengi, mfano kwa cdm nilishawahi kusikia vigezo vilivyotumika ni uzoefu katika chama, mchango wake katika ujenzi wa chama, elimu yake, muda ambao amekitumikia chama, uthubutu katika kushiriki katika mchuano wa ubunge and the like!
Mkuu, umwkosea sana. Kwa chadema hivyo si vigezo. Chadema wanaangalia unasaba na viongozi wakuu au waasisi wa chama, urembo, kama ni kiburudisho cha wenye mamlaka na kutokuwa na tabia ya kuhoji mambo
CHADEMA vigezo na masharti vinazingatiwa, Mbowe au BABU wanajua mbinu zao.
Siri ya wenye viti wa vyama labda mbowe anajua zaidi
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Tuambie huo mfumo wa ccm ukoje?
Kwa chadema vigezo ni hivi hapa
1: kipochi manyoya mnato
2: ukioza meno
3: undugu na misu,kengeza,sina raha
4:uwe mtiifu kwenda dubai
5: uwe na uwezo wa kubeba mbami kama mukya
Chezea Mzimu wa chacha wangwe wewe...
Marehemu chacha wangwe enzi ya Uhai wake alipinga staili uliyokuwa ikitumika kuteua wabunge viti maalum kwani enzi zile ilikuwa from kasikazini Pia mambo fulani yalibugikwa kiaina
ni malaghai.slaa mke wake mbunge. lissu dada yake mbunge.arf ngungu yake mbunge.kumu mke wake mbunge.mbowe hawala wake mbunge idadi ni ndefu huu ndio umakini wa chadema
vipi wewe mbona wafanana na waokotao?Najibu za wale wasiookota makopo tu,Am sorry kaka
nasikia ukiwa mnyimi wa papuci utasandaCHADEMA vigezo na masharti vinazingatiwa, Mbowe au BABU wanajua mbinu zao.
Kwa Chadema wanaangalia kama una uhusiano na Mtei unapata
Money StunnaAmbaye anafahamu hivo vigezo naomba anijulishe
vipi wewe mbona wafanana na waokotao?
mbona umenijibu?nimesema siwajibu ninyi mbona unanilazimisha?au ndo unajificha?