MONTESQUIEU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 847
- 80
- Thread starter
- #41
Obuntu kakurupuka hajui mambo yanendaje?......well subiri mtoto wako aje anajisiwe then hiyo itakuwa ya ukweli...hata mimi nakuunga mkono sawa eeeh?
Obuntu kakurupuka hajui mambo yanendaje?......well subiri mtoto wako aje anajisiwe then hiyo itakuwa ya ukweli...hata mimi nakuunga mkono sawa eeeh?
Siyo ya kutunga kuna kesi kama mbili hivi nimezisikia na moja ni ya ndugu wangu wa karibu...Story ya kutunga hii!
Du hii ni hatari kwa kweli!!!Hata watoto wenyewe kwa wenyewe wananajisiana pia....mtoto wa form 6 na wa darasa la 1 wanapand basi moja
Tangu nimeanza kuyasikia na kuyashuhudia kama mara mbili hivi ni zaidi ya miaka minne sasa,sikujua watu bado wamelala usingizi mzito.
School Bus haihitaji Koda ni Dereva tu pekee yake na Mwalimu wa zamu.Haingii akilini mtoto kufanyiwa mabaya na wazazi kukaa kimya. Tunajenga taifa gani hili?
Siyo ya kutunga kuna kesi kama mbili hivi nimezisikia na moja ni ya ndugu wangu wa karibu...
Hii ishu inabidi iangaliwe kwa mapana zaidi na ikiwezekana hao watoto wawe wanasindikizwa na walimu wao hadi watakapohakikisha mtoto wa mwisho kashushwa.
Obuntu kakurupuka hajui mambo yanendaje?
Akina siye watoto wetu wanasoma katika shule za kata.
Hiyo school bus wanaiskia tuu ila cha moto wanakiona kwenye madala dala, adha za makonda na akina Fataki.
Hili ni tatizo lingine la kukurupuka. Wazazi wameona school bus ndio mwisho wa matatizo. Hajui mwanawe anachukuliwa na basi gani wala anaendeshwa na nani. Madereva bangi wanakimbiza magari ya watoto hovyo na kupita njia zingine za ajabu ajabu
Tena wa pono, je uliposikia ulijulisha jamii kwa njia yoyote shsti?
mhanga mmoja mlezi hakulinyamazia jambo hili alimfikisha mhusika kwenye vyombo vya sheria na kwa huyo mwingine nafikiri kwa kutotaka mambo yajulikane walimtafutia shule ya karibu.kwa mlezi wa kwanza maana wazazi walifariki tulishiriki kikamilifu ndugu yangu kuutokomeza uovu huu,ndio maana nashangaa kusikia bado upo.
Bado dear upo sana, nahuwa hautangazwi. hawa mauncle wenyewe wachafuu!
Story ya kutunga hii!
Michango yote ni ya kizushi tu. Inaonekana hisia imetumika zaidi ya kuwa na hoja za msingi