ni lazima.
kila huduma by that time itakuhitaji kuwa na Kitanbulisho,,,kama Wakenya wameanza kitambo sana na mambo haya.
Kama leseni ya udereva vile
kwa kuwa ni waTz na nyumbani kwao ni hapa Serikali isipowakumbuka wao wataikumbusha.
Ukiwa mgeni Kitambulisho chako kinakuwa hivi (Permanent Residence)
View attachment 52874
Inamaana hata nikitaka kwenda chooni nitatakiwa niwe na hiki kitambulisho?
Bureaucracy at its best...ilitakiwa mambo yote yawe katika ID moja.Pasipoti, leseni ya udereva, kitambulisho cha kura, cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha kazi, na sasa kitambulisho cha taifa. Vyooote hivi vinamtambua tu mmoja!
Je kwa hicho kipya cha kitaifa kitakuwa ni muungano wa vyooooote au tena utalazimika kupeba vitambulisho vingine?
ikiwezekana!
Mhudumu akiwa nashaka nawewe ataomba umpatie kitambulisho!
Hahaha!u are not serious!
Pasipoti, leseni ya udereva, kitambulisho cha kura, cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha kazi, na sasa kitambulisho cha taifa. Vyooote hivi vinamtambua tu mmoja!
Je kwa hicho kipya cha kitaifa kitakuwa ni muungano wa vyooooote au tena utalazimika kubeba vitambulisho vingine?
Na huu Muungano wenye pending issues itakuwaje?hao wanaotaka kujitoa watapewa vitambulisho vya wapi?
Pasipoti, leseni ya udereva, kitambulisho cha kura, cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha kazi, na sasa kitambulisho cha taifa. Vyooote hivi vinamtambua tu mmoja!
Je kwa hicho kipya cha kitaifa kitakuwa ni muungano wa vyooooote au tena utalazimika kubeba vitambulisho vingine?
Afadhali aisee. Watupe haraka