Vitambulisho Vya taifa vitapatikana 2015

Kankwale

Senior Member
Apr 5, 2012
131
20
mkurugenzi wa NIDA Amewaeleza waandishi wa habari kuwa kitambulisho kitapatikana labda baada ya miaka miwili ijayo kwa kuwa hatua zinazofanyika sasa ni za awali kwani hatua za kupata kitambulisho ni:-1.kujaza fomu 2.kamati za ulinzi na usalama kuhakiki fomu3.kupiga picha na finger print 4.kuprint kitambulisho 1st draft ili mwenye kitambulisho afanye uhakiki wa taarifa5.kitambulisho harisi.Itv na tbc
 
Hapa kuna ulaji lakini pia chama hakiwezi kukubali vitumike kwa ajili ya uchaguzi 2015 kwani ni HATARI, Same apply to Katiba Mpya
 
usanii mwingi waliplani kutoa vitambulisho mwezi april mwaka huu wameshindwa.
sasa kama hadi 2015 tena sii ajabu ikafika hadi 2020 bila kupatiwa.
sababu za kushindwa kutoa 2012 wamesema ukosefu wa fedha sasa 2015 watapata wapi?
 
sasa wakitusumbua nini?? mara ooh tunatoa siku 7 mara ooh siku zimekwisha..watu tukiamka saa 10 usiku daily halafu leo wanatuletea jau!! kweli hawa jamaa na serikali yake ni legelege
 
Naona wanataka waunganishe gharama za vitambulisho na kampeni za uchaguzi za CCM 2015, hii ndo TZ yetu, lol!
 
Huu ni uzembe sana. Nchi kila kitu haiwezi hadi mkuu wa nchio hiyo kila kitu hawezi na serikali yake haiwezi. Hili taifa nafikiri tubadilishe jina liitwe United Republic of Hatuwezi.
 
Chama Cha Mabwepande tumewazea kwa ubabaishaji kwa kila kitu.Kwa hiyo hakuna jipya hapa!
 
Back
Top Bottom