Vitambulisho vya taifa vimeanza kutolewa!

chuwaalbert

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
3,598
2,115
Mchakato wa vitambulisho vya RAIA vya Taifa umeanza. Pale Chuo Kikuu Kampasi kuu, wafanyakazi wanajaza fomu za kupata vitambulisho hivyo. Fomu zinazojazwa zimeandikwa kwa Kiingereza. Maswali yangu:

1. Mbona taarifa hizi hazitangazwi kwa RAIA WOTE? Kwa nini zoezi hili limeanza kimya kimya?

2. Wananchi wa sehemu nyingine wameanza pia kujaza fomu hizi? Kama bado wataanza lini?

3. Je, ni lvipi kuhusu ugha inayotumika katika fomu hizi?

4. Nani ameshinda tenda ya kuvitengeneza?

Tujadili. Tueleweshane!
 
Mkuu form zimegawiwa kwa watumishi wa serikali na hivyo zoezi limeanza rasmi kwa watumishi wa serikali. Kuna mtu amenionyesha form yake imendikwa kiswahili sasa hizo za huko sijui kwa nini ni za kizungu.
Mkuu kuhusu mshindi wa tenda tulishafahamishwa humu JF nadhani ni kampuni toka Malaysia ama Singapore sikumbuki vizuri ila kampuni inatoka moja ya nchi za mashariki ya mbali. Nadhani wanafanya pilot project kwa watumishi wa serikali/umma na kisha wapime na kuroll out to others.
 
Tanzania viongozi wake sijui wana akili gani,sasa kufanya swala hilo kimyakimya ndo nini? Ujinga mtupu,asante mdau kwa kutujuza.
 
Mkuu form zimegawiwa kwa watumishi wa serikali na hivyo zoezi limeanza rasmi kwa watumishi wa serikali. Kuna mtu amenionyesha form yake imendikwa kiswahili sasa hizo za huko sijui kwa nini ni za kizungu.
Mkuu kuhusu mshindi wa tenda tulishafahamishwa humu JF nadhani ni kampuni toka Malaysia ama Singapore sikumbuki vizuri ila kampuni inatoka moja ya nchi za mashariki ya mbali. Nadhani wanafanya pilot project kwa watumishi wa serikali/umma na kisha wapime na kuroll out to others.
hz mbwembwe tu.ooooh kipande hichi kitakuwa na uwezo wakuongea na mifumo yote haya!!! mi nasubiri nikipate nikitumie kama leseni ya gari........!!!!
 
Back
Top Bottom