Vitalis Maembe

vitalis huwa nazikubali sana 2ngo zake zina vina sio km za mpoto anaenda tu km anasoma gazeti
 
Majina bwana kwa kufanana,namkumbuka kuna Padri aliwahi kuja kwenye parokia yetu alikuwa anaitwa Vitalis Maembe,aliwahi kukamatwa anazini na mke wa mkuu wa kituo cha polisi ikabidi wamhamishe fasta kuogopa aibu ya mwaka
 
one of the real musicians in tanzania,, wanaojielewa na kujitambua,,,
 
huyu jamaa ni wa ukweli sana nimekuwa nikifatilia video ambazo zimeandaliwa na watetezi wa haki za binadam kuhusu watz wanavyopokonywa ardhi yao na mateso wanayopata waishio karibu na migodi huko mara.... basi nyimbo zake zinatumika kama sound track.... huwa najikuta natokwa machozi mwenyewe... he is a great song writer
 
Majina bwana kwa kufanana,namkumbuka kuna Padri aliwahi kuja kwenye parokia yetu alikuwa anaitwa Vitalis Maembe,aliwahi kukamatwa anazini na mke wa mkuu wa kituo cha polisi ikabidi wamhamishe fasta kuogopa aibu ya mwaka
Tushawazowea... Yeyote anayewasema huwa majibu kwake ndo haya
 
Jana ameimba kwenye kongamano la kitaaluma la Azimio la Arusha,alikonga nyoyo za tuliokuwepo kwa kuimba kwa hisia kali sana.Hongera yake.
 
Jana ameimba kwenye kongamano la kitaaluma la Azimio la Arusha,alikonga nyoyo za tuliokuwepo kwa kuimba kwa hisia kali sana.Hongera yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom