Vitabu vya willy gamba/ elvismsiba

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Ndugu zangu naomba kujua je vitabu vya mtunzi Elvis msiba nitavipata wapi mana nina kumbuka mbali sana kipindi hicho cha shule kuna kaka yangu alikuwa anakuja navyo wakati wa likizo.naomba msada nitavipataje.mfano KUFA NA KUPONA .KIKOSI CHA KISASI.HOFU.NJAMA.HUJUMA au uhaini Mwandishi mwingine ni MTOBWA na vitabu vya JOLAM KIANGO.Naomba tufafahamishane ndugu zangu emeil yangu ni josepheric674@yahoo.com
 
ni Joram Kiango....
vitabu vingi kwa sasa viko katika hali ya....New Edition......kama vile vimepungua utamu fulani....lakini am sure....ukienda kwenye book shops kubwa hutavikosa.....
 
Back
Top Bottom