Vitabu vya mafanikio

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Wasalam wana JF,
Kuna mtu hapa JF nampongeza sana kwa upendo wake na utoaji wa msaada wa kisomi. Yeye huwa natoa vitabu vinavyohusu mafanikio mara kwa mara kwa wale ambao hawajaviona naviweka hapa, jitahidi uvimalize kuvisoma utafurahi! Pia kama una vitabu vinazungumzia mafaniko tuatachie hapa sisi tujisomee!
Asante.
View attachment 29652View attachment 29653
 
Tanzania education publishers ltd-TPH book shop ltd(Home)
wanatoa vitabu vinavyousu kilimo,ufugaji n.k
unaweza check nao kwa information zaid.
 
Asante mkuu! hebu vicheki nwewe hivyo nilokuattachia halafu uone vilivyo! mi napendelea zaidi vya mtindo huo make vinafundisha general success! Asante.
 
Ahsante Radio Producer...

Nadhani kuna haja ya kupata waandishi kama hawa wa hapa kwetu ambao pengine tungeandika masuala haya kwa kiswahili. Nina imani kwamba watu wengi ambao hawafahamu lugha ya kiingereza wanakosa uhondo huu. Ukipita katika maduka yetu ya vitabu unakuta vitabu vya mitaala ya shule tu,

Niko mbioni kuangalia nawezaje kuchangia angalau kuandika kitabu kimoja.

Tafadhali virushe vingine kama vipo
 
Asante mkuu, aisee mimi ilibidi nikprint hicho kikubwa niwe nakula nyumbani tu, yaani kati ya vitabu vya mafanikio nilivyosoma vya huyu bwana ni hatari ati! vinabadilisha kabisa akili ya mtu! Nimekaribia kukimaliza hicho kikubwa! Kuna mtu humu JF ndo alivitoa nilidhani kama ningemkumbuka jina basi angetuongeza vingine make yeye ya haya mambo ni damu damu!
Asante.
 
Wasalam wana JF,
Kuna mtu hapa JF nampongeza sana kwa upendo wake na utoaji wa msaada wa kisomi. Yeye huwa natoa vitabu vinavyohusu mafanikio mara kwa mara kwa wale ambao hawajaviona naviweka hapa, jitahidi uvimalize kuvisoma utafurahi! Pia kama una vitabu vinazungumzia mafaniko tuatachie hapa sisi tujisomee!
Asante.
 
Attachments

  • 1 Why do we need market research.docx
    435.3 KB · Views: 183
  • peerc7.pdf
    542.8 KB · Views: 249
  • richestmaninbabylon.pdf
    937.7 KB · Views: 192
Mimi nina kitabu kizuri sana tittled Brings out the magics in your mind kilichoandikwa na Al Koran lakini sijaweza kupata online copy..i bought a hard copy online from individual..ukikipata online kisome kina manufaa sana
 
Asante sana mkuu!
 
Naam naungana nawe kabisa kumshukuru huyu bwana, amekuwa msaada sana. Mi bado nasoma kitabu cha mafanikio. Mungu ambariki huyu muugwana
 
Asante sana,navidownload vyote nitavisoma taratibu,kuna umuhimu wa kufanya translation ya hivi vitabu ili watanzania wengi wapate fursa ya kuvisoma
Wasalam wana JF,
Kuna mtu hapa JF nampongeza sana kwa upendo wake na utoaji wa msaada wa kisomi. Yeye huwa natoa vitabu vinavyohusu mafanikio mara kwa mara kwa wale ambao hawajaviona naviweka hapa, jitahidi uvimalize kuvisoma utafurahi! Pia kama una vitabu vinazungumzia mafaniko tuatachie hapa sisi tujisomee!
Asante.
 
Asante sana,navidownload vyote nitavisoma taratibu,kuna umuhimu wa kufanya translation ya hivi vitabu ili watanzania wengi wapate fursa ya kuvisoma

Yani mimi nimekaribia kukimaliza kioma aisee nahisi kupanuka kichwani hadi naanza kuona ajira ya mshahara wa uji si kitu zaidi ya kuwa mkulima bora kwa mwaka mmoja ukaja kuwa na kiwanda chako kidogo
 
Mkuu majority tunakosa ujasiri tu kuachana na hicho kitu(hapo kwenye red) lakini for sure inaumiza sana
 
kwa kweli hicho kitabu cha Success Book (You can Win) cha Shiv Khera ni kizuri sana, mimi nilikiona humu humu JF nikakiprint na ni one of my favourite book na nikikutana na mtu ambaye ni mpiganaji wa maisha uwa namzawadia ili kimuongezee nguvu na kumpa moyo. Kina maneno ya kukupa nguvu mengi sana ni kizuri mno nawashauri mkisome mtaungana nami
 
Kuna kingine by Robert Kiyosaki; Financial Qaudrants; Kinaongelea "finacial freedom"
 
Rich Dad, Poor Dad by Robert Kiyosaki..

Nimeona nikuongezee na HUTUBA YA KWANZA YA BABA WA TAIFA. HAPA UTAONA JINSI ALIVYOKUWA ANACHUKIA UMASIKINI.HEBU SOMENI HUTUBA HII JAMANI.
 
Attachments

  • Rich Dad_ Poor Dad.pdf
    777.5 KB · Views: 139
  • Robert Kiyosaki - The Cashflow Quadrant.pdf
    1 MB · Views: 230
  • Hotuba ya kwanza ya Nyerere.docx
    16.6 KB · Views: 208
Back
Top Bottom