Vitabu Vya James Hadley Chase

halafu vinadownload faster sana, nilikuwa nimesoma vitabu vyake kama 7 hivi sasa namalizia nilivyokuwa nimevikosa. Thanks bro
 
James Hadley Chase, John Grisham na Lee Child Nimesoma kila kitabu. They are very good. Mwenye kutaka kusoma a niPM nitamuazima maana nina Library ya novel zote za waandishi hao. Kuna a kina Perry Mason, Ludlum, etc
 
Hebu nielekeze namna ya ku-PM ni-du ze nidful
 
jeffrey archer pia vitabu vyake vilikuwa maarufu sana enzi hizo.

btw kuna mtu anajua namna ya kupata free books kutoka kwa kindle ya amazon? nimekuwa mwepesi wa kusoma vitabu sana kwa kupitia iphone kwa application ya Kobo. Ina vitabu vizuri sana for free but nimesikia kwenye kindle pia viko vya free...any help?!
 
Jeffrey Archer umenikubusha KEN AND ABEL na Prodigal Son
 
wakuu mbona na-download halafu havifunguki. Hebu nijulisheni natakiwa nifanyeje ili niweze kuvifungua.
 
Kiboko ya Chase ni -- Vulture is a Patient Bird, Wary Transgressor, One Birght Summer Morning na You Find Him I'll fix Him

...Mkuu, Je 'No Orchids For Miss Blandish' iliyopata kutengenezwa sinema iliyoitwa 'The Grissom Mob'?
 
Hello sweet friends, who has got the link to all James Hadley Chase's novels? Please, I will really, really appreciate it if I could download all the great writer's works as he's my mentor.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom