Vitabu vya hadithi kutoka China vya Kiswahili

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,502
7,530
wadau hivi vitabu vya hadithi za asili ya China kuna sehemu vinapatikana hapa nchini? mojawapo kati ya vitabu kadhaa nilivyowahi kusoma ni ''Hekaya za kale za China II'' kilikuwa na mkusanyiko wa hadithi kadhaa. sikumbuki nilikipotezea wapi ila nimejaribu kupitia maduka mengi ya vitabu bila mafanikio. yeyote tafadhali mwenye taarifa za wapi ninaweza kupata vitabu vya hawa jamaa!
 
Umenikumbusha mbali sana.
Ngoja nifanye homework labda vyawezekana vikawa madukani bado
 
Back
Top Bottom