Integrated Geography by David Waugh. (bei yake ina range kwenye 90,000/= na kuendelea )
NB: Kama ni mvivu kujisomea vitabu hakikufai tafuta Nyangwine Books.
Pia kuna vingine vimechapwa na Longman ni vizuri kwa maana ya practical na physical. Nenda Bookshop utavpata ni vya kjan.
Kibongobongo physical geo ni nzuri ya Msabila kuliko ZISTI NA practical bora utumie ya Zisti.
Muhimu.
vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa KITANZANIA (ARTS SUBJECTS) VINAMAPUNGUFU,hivyo ni chaguo lako.
Zist kamil yuko vizur ktk geography one in practical nenda barneth for diagrams msabila in georg11 yuko vizur sana
akisoma longman ataichukia georgraphy mapema sana coz vitabu vyake ni complicated sana mkuuBannet ni kwa O'Level mkuu, tafuta Physical landform for Africa hiki nacho mchapaji ni Longman. kipo vzur n zaid ya Bannet.
akisoma longman ataichukia georgraphy mapema sana coz vitabu vyake ni complicated sana mkuu
Angetafuta D. T. MSABILA practicalZisti kwa practical yuko poa sema tu survey yake ndo ipo shallow.
lakini its the best kwnye hzo topic nyingine
Tafuta msabila wewe ndio ameelezea vizur katka kila kitu.Jamani naombeni kuuliza vitabu vizuri vya geography vya advance
Hebu nanyi tungeni tuone ubora wenu, maana mnakosoa bila kuprovide solution, kwa kiasi kikubwa wamejaribu lakini kusema hawajafanya kabisa si kweli.kiukweli waandishi wetu wa kibongo wanazingua sana. naomba mheshimiwa waziri wa elimu alifanyie kazi suala hili maana wanafunzi wetu wamekuwaq wanakimbilia kutumia vitabu bila kujua ubora wake na kujikuta kwenda chaka katika mitihan yao!!!!!!!! tuchukue hatua
Huyo jamaa alivyosema n kwel vitabu ving vya tz vimetofautina katka maelezo yanayoelezea topic mbalmbal.Hebu nanyi tungeni tuone ubora wenu, maana mnakosoa bila kuprovide solution, kwa kiasi kikubwa wamejaribu lakini kusema hawajafanya kabisa si kweli.
D.T Msabila edition ya 2014 ni kizuri kwa physical geog pia kina topic ya wetlands.Jamani naombeni kuuliza vitabu vizuri vya geography vya advance
Si rahisi waandishi wafanane, maana wakifanana huna haka ya kusoma vitabu vingine hivyo soma ili uchambue hats vitabu vya nje vinatofautiana.Huyo jamaa alivyosema n kwel vitabu ving vya tz vimetofautina katka maelezo yanayoelezea topic mbalmbal.
Ambapo hupelekea kuchanganya wanafunz.
Mfano mzur n topic ya "THREAT TO THE WORLD PEACE AFTER SECOND WORLD WAR"
Hii topic kila mwandish ameilezea tofaut kulingana na uelewa wake.
Major events ameelezea tofaut na mastering ya mwl. Kato, lakn vyote na vitabu vya history.
Apo ndio unapoona utofaut wa vitabu kwa hapa tz na kumchanganya mwanafunz
Ndii vinatofautiana lakn cha umuhmu ni maudhui yanatakiwa yalingane.Si rahisi waandishi wafanane, maana wakifanana huna haka ya kusoma vitabu vingine hivyo soma ili uchambue hats vitabu vya nje vinatofautiana.