Vita ya Umeya Kigoma, Zitto kukamatwa na kushitakiwa leo

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Kuna taarifa kwamba vita ya Umeya Kigoma imechukua sura mpya baada ya Zitto kabwe kuitwa polisi na kuna habari kwamba amekwisha kuandaliwa mashitaka mazito ya kumtorosha mtuhumiwa kituo cha polisi, kosa ambalo kisheria dhamana yake ni ngumu na leo ni Ijumaa ya kuelekea Siku Kuu ya Krisimas hivyo anaweza kusota rumande hadi baada ya Sikukuu.

Wakati hayo yakiendelea, uongozi wa Halmashauri ya Kigoma wanafanya kama walivyofanya wa Arisha na sasa wanaandaa kikao kwa siri cha Baraza la Madiwani, ambacho kinaweza kufanyika Tarehe 27, siku ambayo upo uwezekano Zitto asiwe ametoka jela.

Taarifa zaidi zinasema kesi anayoweza kushitakiwa nayo Zitto inatokana na mmoja wa watu waliokuwa katika kampeni zake za mwaka huu kukamatwa na kuwekwa kituo kimoja kidogo cha polisi mkoani Kigoma akituhumiwa kwa mauaji, na baadaye kundi la wafuasi wa Chadema walikwenda na kuondoka naye. Tukio hilo lkilitafsiriwa kwamba lilichochewa na Zitto na sasa ndiye anatakiwa kushitakiwa. Lakini tujiulize hata kama kuna kesi, kwanini ifunguliwe leo Ijumaa ya Krismasi? Kwa kweli hawa CCM wanatupeleka pabaya.
 
Kama wakifanya hivyo basi watakuwa wamemwonea

Wanataka kumbambikizia kesi dah
 
Zitto hatatendewa ndivyo sivyo. Kikwete ni rais makini sana kwa zito hatakubali zito akamatwe. Wampe zito simu ampigie kikwete na ataachiwa mara moja. Kikwete ni raisi makini mno kuruhusu uharamia huo wa demokrasia.

Pole Zito, huu ni mwanzo. endelea kujifunza through a hard way ili ujue kuwa Kikwete is rais si chochote.
 
hivi kwanini vyama vinapigania sana umeya? unalipa kiasi hicho? au ni tamaa ya madaraka?

nilifikiri ukiwa diwani wa kawaida ndiyo una chance ya ku challenge vizuri kuliko ukiwa madarakani maana unapaswa kuungana na chama tawala kula nchi
 
Kama Zitto atakamatwa kwa jinsi ilivyoelezwa juu, ni usanii mtupu....ni kuwapa watu umaarufu usio na sababu!
 
mpaka kwenye hili chadema fans mnaonyesha rangi zenu

zitto kaamua kupambana ndani humo humo na han'goki katu.


kwa sasa iliobaki ni kumtoa roho tu ila 2015 atachukua fomu na mpambano huko
 
Habari zinasema tayari ameshafikishwa mahakamani na kusomewa shitaka.... tunatafuta details
 
Zitto hatatendewa ndivyo sivyo. Kikwete ni rais makini sana kwa zito hatakubali zito akamatwe. Wampe zito simu ampigie kikwete na ataachiwa mara moja. Kikwete ni raisi makini mno kuruhusu uharamia huo wa demokrasia.

Pole Zito, huu ni mwanzo. endelea kujifunza through a hard way ili ujue kuwa Kikwete is rais si chochote.

we unaishi Tanzania?
 
Alaf ujue habari zingine zinaleta pressure! Ni Zitto ninaemfahamu au?mbona sasa kijana mwenzetu anakosa amani kila siku?jaman serikali muangalie uyu kijana,msimwendeshe kiivo,siasa si vita!
 
Mambo undava tu Bongo kuwarudi wapinzani. Si mnasema Tanzania pana amani? Woga ndio amani? Pana utulivu tu sio amani. Maji yakitulia si unaweza kuyatibua? CCM inatikisa kiberiti tu hapo, kazi yenyewe bado. Msikilize Makamba vizuri kama unataka kujua dira halisi ya CCM. Wapinzani kwa CCM ni maadui halali waliowekwa kuishi kisheria, ambao wanayo nafasi ya kupangiwa elimination program kama malaria na ukimwi. Ndio maana Makamba anasisitiza hakuna kukaa na wapinzani meza moja kujadiliana.

Watu waliambiwa wamjaribu Slaa na sera za chama chake wakaitikia na kumchagua, ccm ikashitukia dili na kuaprogram uchakachuaji hadi kikaeleweka. Sasa waliopenya chujio la uchakachuaji wanakusudiwa kudunguliwa mmoja baada ya mwingine. Jana ilikuwa Arusha, leo Kigoma, kesho kwingineko mpaka wananchi waliojifanya kutaka mabadiliko washikishwe adabu. Ukitaka kuvimiliki vifaranga vya simba lazima uhakikishe unammaliza mama yao. Kiboko cha ccm ni Slaa tu.
 
Zitto anataka umaarufu kwa kukubali abambikiziwe kesi huo ni ushamba wa kijijini zitto
 
Suluhu haiji ila kwa ncha ya upanga, bongo hapa lazima tuchinjane kwanza ndiyo kieleweke.Natamani nile maini ya RPC wa Arusha mabichi.
 
kama Zitto huyuhuyu wiki mbili zilizopita alituhumiwa kuwa na ukaribu wa kimawasiliano na kimkakati na watawala na ushahidi ukaanikwa, inakuwaje leo watanzania muamini watawala wanamuonea kwa kumfungulia kesi! Cha kujiuliza ni nani yuko against Zitto kwenye hiyo kesi kama kweli ipo, je watawala walewale wanaomtumia? au ni nani mwenye ubavu wa kumsumbua agent wa wazee? Au ndio tatizo lilelile la watanzania
kila siku kudanganywa kwa propagandaa za kupoteza lengo? TAFAKARI
 
Aisee ni kweli kakamatwa!source radio one!duu ccm balaa wanamshughulikia mtu baada ya mwingine. Tukimbilie msituni?
 
kama Zitto huyuhuyu wiki mbili zilizopita alituhumiwa kuwa na ukaribu wa kimawasiliano na kimkakati na watawala na ushahidi ukaanikwa, inakuwaje leo watanzania muamini watawala wanamuonea kwa kumfungulia kesi! Cha kujiuliza ni nani yuko against Zitto kwenye hiyo kesi kama kweli ipo, je watawala walewale wanaomtumia? au ni nani mwenye ubavu wa kumsumbua agent wa wazee? Au ndio tatizo lilelile la watanzania
kila siku kudanganywa kwa propagandaa za kupoteza lengo? TAFAKARI

Jamani kuna mambo mengine si lazima museme, ktk hili Zitto hawezi kujipangia serious kesi kama hii. Pili alipanga kosa Oktoba 27 ilipotokea vurugu? Na pili mujue CCM wanataka kumzuia Zitto asishiriki uchaguzi wa Meya na pia wanataka kuleta mbunge wa viti maalumu kutoka Kasulu apige kura Kigoma Mjini. Jamani tusipotoshe na tujue mambo ya Chadema yameisha na sasa wako shwari
 
Criminal Case no. 10 of 2010
*
Republic versus ZITTO ZUBERI KABWE
*
CHARGE: STATEMENT OF OFFENCE
*
UNLAWFUL RESCUE OF A PERSON UNDER LAWFUL CUSTODY; Contrary to section 115(1)(c) and 35 of the Penal Code (CAP.16 R.E 2001).
*
PARTICULARS OF OFFENCES
*
ZITTO ZUBERI KABWE on 27 day of October 2010 at about 11:00 hours at Mahembe Police station in Kigoma District and Kigoma Region by using force did rescue PETER KIBWEGA who was under lawfully custody of police at Mahembe police station.
======================================
*
Kesi itatajwa tena tarehe 10 Februari.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom