Vita ya Ubunge CCM 2015 yaanza; Pindi Chana adaiwa kumvaa Filikunjombe

18 SEPTEMBER 2012

Na Mwandishi Wetu, Ludewa

VITA ya ubunge Jimbo la Ludewa, mkoani Njombe, kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu ujao 2015, imeanza kujionesha wazi baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),
Bw. Pindi Chana, kudaiwa kufanya jitihada za kumpigia debe mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UWT, wilayani humo.

Baadhi ya wanachama na viongozi wa CCM jimboni humo, wanadai jitihada za
Bw. Chana kumpigia debe mgombea huyo ni maandalizi ya kunyakua jimbo hilo ambalo hivi sasa lipo chini ya mbunge wake Bw. Deo Filikunjombe.

Hata hivyo, mgombea aliyekuwa akipigiwa debe na
Bw. Chana, alianguka vibaya katika uchaguzi huo na yule aliyekuwa akiungwa mkono na Bw. Filikunjombe, alipata ushindi wa kishindo.

Kwa upande wake, Bw. Filikunjombe alikiri kuwepo kwa taflani hiyo na kudai kuwa, haukuwa mgogoro kati yake na
Bw. Chana bali ulihusisha kwa kiasi kikubwa wagombea wa kiti hicho.

"Si kwamba tulizozana ana kwa ana na
Bw. Chana hapana, Kilichotokea ni kwamba mwenzangu alikuwa na mgombea anayemuunga mkono na akina mama wa Ludewa walikuwa na mgombea wao.

"Yeye alitaka kutumia nguvu kama Mjumbe wa Kamati Kuu kupindisha sheria ili mgombea wake ashinde, lakini sisi tulisimama kidete kuhakikisha kanuni za chama zinazingatiwa kumpata mshindi halali.

"Kwa mfano, alama alizowekewa Bi. Mlowe hakuna kikao chochote kuanzia Kamati ya Utekelezaji ya Wanawake Wilaya, Baraza la Wanawake Wilaya na Kamati ya Siasa Wilaya waliohusika kuziweka, Bw. Chana alitaka haya yote yapuuzwe na viongozi walipomweleza yeye akaleta ubabe," alisema Bw. Filikunjombe.

Huyu mwandishi sijui kama anamfahamu huyo Pindi Chana ama amefanya kwa makusudi!

Second to my beloved Pindi Chana: Kama kweli unajitambulisha unampenda Yesu mtegemee yeye naye atakusaidia hizo cris cros hazitakufikisha popote zaidi ya kukuangusha big tyme! Let your light so shine that those in dark might see and glorify your heavenly father...At your age ukianza kujipeleka katika uovu mpaka uzeeni utakuwa na majeraha mengi sana!
 
Waache wagombanie kitu amabacho hawawezi kukipata! Filikunjombe Ahamie airtel mapema
 
naona somo halijaeleweka hapa, kutokana na Deo kutikisa bunge against chama cha wala, huu utakua ni mpango mkakati.....lakini Mungu hamtupi mja wake
 
Kuna haja ya kuvifuta ivi viti maalumu maana jinsi wanavyopatikana hawa dada zetu ni very mysterious
Na wenginwametawaliwa na ugawaji kwanza then ndo anapata kiti special mbaya zaidi unakuta mtu ana mumewe kheri ata angekuwa freelancer
 
Alikuwa demu wa Wasira wakazinguanaga.Hope sasa wana date na Makamba Sr.

Huyu mama alizaliwa na mama mkinga na baba singa singa, amebebwa bebwa sana hapo chama cha magamba na mpaka akawa kwenye cc yao!! Amechezewa sana humo mpaka akaitwa JANVI LA WAGENI WA CCM!!! Hana hadhi ya kuweza kupata ubunge huko Ludewa dhidi ya Filikunjombe!!
 
Waandishi wengine wanatia kinyaa yaani yule dada Pindi Chana leo anamwandika Bw Pindi Chana. Magazeti mengine sijui hayana hata wahariri na proof readers. So sad
 
Hivi huyu Pindi Chana ni mwanamke au mwanaume? samahani wakuu naomba mnikumbushe, mimi huwa najua ni Mmama na sio men ila article inaosha kitu tofauti na ninavyo fahamu!

Hili Ji-Andishi ni tutusa kabisa! Haya ndo makanjanja tunayoyalalamikia siku zote, eti Bw. Pindi Chana! Tumb..ff kabisa!

Jamani Pindi Chana ni m-Bibi a.k.a Mamsapu wa jamaa! Sasa huyu zumbukuku anatuambia eti ni Bwana. Ina maana hayo aliyoayaandika ni maneno ya kusikia watu wanaongea mitaani jamaa akawahi kwenda kutoa habari. Mhariri Mkuu wa hilo gazeti naye ni DHAIFU kama Mk'were atapitishaje habari bila kutafakari kwa undani? Tukatae, tukubali sisi wa-TZ bongo zetu zina shida kubwa sana!

Huyu mwandishi kama anataka suluhu na sisi atuombe radhi wasomaji na amwombe radhi pia huyu mama. Amemdhalilisha sana.
 
Muandishi wa Gazeti hili anapaswa aulizwe kuhusu huu uandishi wake,si mara moja amerudia kuwa Chana ni Bw. baadaya ya Bi. Uandishi wa namna hii mara nyingi unapelekea kuandika habari za mtaani zisizo na ukweli.Muandishi makini anayefuata sawasawa taaluma yake hawezi kurudia kosa la namna moja zaidi ya mara tatu katika article moja.Pindi Chana kama walivyo wakina mama wengi waliopo ndani ya CCM ni mchafu,kwa maana ya kwamba anapita ktk ngazi mbalimbali za uongozi kwa kutumia maumbile yake.Yeye Kama mama yake ni watu ambao wanaishi kwa ujanja wa kimaumbile.Pindi si Msichana mdogo amezaliwa mwaka 1976 na baba yake ni muhindi amesomea nchini Russia - Moscow kati ya mwaka 1994 mpaka 2000 na kwa taaluma ni mwanasheria!
 
Pindi Chana anajua hata rudi tena bungeni kwa ubunge wa viti maalum kama Sophia Simba atashinda tena uenyekiti wa UWT kwa kuwa ataleta mpango wa ukomo wa viti maalum japokuwa uchaguzi uliopita alimuunga mkono Sophia Simba.

Pindi Chana inasemekana nafasi za juu alizonazo(Ubunge, uenyekiti wa kamati ya bunge na ujumbe wa kamati kuu) ni matokeo ya kutoa huduma nzuri kwa 'wazee' ukizingatia kwamba 'mtaji' alionao unalipa kwa wanaume wengi tu.
Mkuu Concrete, my opinion its the other way round!.
  1. Kwa uzuri wa kutizamika, huyu mama amejaaliwa kila idara, kuanzia rangi, nywele, umbo, shape, leggyline, macho, etc,etc, hivyo angekuwa ni mtu wa kujiachia, wazee wangeshakula fadhila na kumuingiza cabinet zamani, haswa ukizingatia udhaifu wa ile top layer yetu!.
  2. Zaidi ya uzuri, huyu mama ni holder wa LL.B na LL.M, hivyo ni msomi wa hali ya juu na ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba. Kwa sifa hizo, angekuwa anatoa, angesha paishwa zamani!.
  3. Kuna watu nawafahamu, hawana hata nusu ya uwezo wake, wako juu kwa sababu wametoa!, naamini kuna wazee wanaomba, wananyimwa na ili kumkomoa ndio maana amebaki hapo hapo alipo!.
  4. Kama unajicho zuri la kutazama, wabunge waachiaji utawajua juu kwa macho, na wale ombao ni "women of substance" and "integrity", utawajua tuu, huyu mama ni "of sustance na integrity"!.
  5. Mimi nimeshakaa nae mahali for dinner, qualifications zake sio paper, but she is ok upstairs, na ndio maana kaamua kama kukwaa ulaji ni mpaka mtu ujirahisi, then tu hell with uwaziri, na ndio amebaki alivyo!
Pasco.
 
Pasco leo tuko pamoja!
Angekuwa anagawa kama watu wanavyodhani basi asingekuwa ana struggle hivyo.....She will soon surprise many of you. Kuchukia mtu bila sababu ni kosa hata mbele ya Mungu...

I know Pindi as a born again christian humble and down to earth ambapo hatumii cheo chake kupata vitu kwa lazima. Nime interact naye na kama kwangu ali-beahve hivyo siwezi msemea uwongo. She had no reason whatsoever kuheshimu taratibu katika mazingira tuliyokutana...Angekuwa mwingine ange fanya bulling....Well thats much I know about her kwa experience yangu.
 
unataka ushahidi wa kuwa pindi ni mgawaji? au unataka kumtetea tu?
 
unataka ushahidi wa kuwa pindi ni mgawaji? au unataka kumtetea tu?

Neither of the two is true about me.....Mimi nimesema namjua kwa jinsi hiyo na hivyo nashangaa kusikia mnayosema lakini pia reffer my previous text ambapo nilimwelekezea yeye na ombi langu kwake. Sasa kama yeye ndiye aliyeniambia ni born again je mimi sitakuwa mwongo kusema nisichokijua? Nyie mnaomfahamu kwa jinsi nyingine mnahaki ya kumnyooshea kidole na kumwonya ndiyo maana nimetoa huu ukweli mwingine according to yeye ili mhukumu sawa sawa na dhamira zenu....I am a gospel preacher man so whatever is good news to people am compelled to preach publicly with truth as my benchmark!
 
Stori za kutengeneza bwana? Yaani Mwandishi mzima mpaka anamnuku Pindi Chana bado asijue kuwa ni Mwanamke? Kwa alipoongea naye hakusikia hata sauti ya Kike? Bi.Pindi Hazara Chana ni Mjumbe wa CC ya CCM, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba na Mke wa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dr Norman Sigalla.
 
Back
Top Bottom