Vita ya Msekwa ni ya Kuvuana Gamba

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Aliyetoa tuhumu dhidi ya Msekwa ni mbunge wa CCM na anajulikana yupo upande gani wa gamba.

Tukae mkao wa kula maana mwishoni mwa siku kashfa zote za wana CCM zitaweka hadharani ili tuone nani mwenye ujasiri wa kumnyooshea mwenzake kidole.
 
Mzee Msekwa anadhani bado watanzania ni wajinga. Nimesoma utetezi wake eti anadai amelitumikia taifa kwa uadilifu. Anasahau kuwa aliua bunge kabisa na kulifanya liwe mhuri wa serikali, sijui huo ndio uadilifu gani....yeye ni kiongozi a juu wa chama na chama kiko katika worst shape in history halafu anadai yeye ni muadilifu, ni uadilifu upi huo anaouongea???
 
Aliwahi kufanyiwa uchunguzi enzi za mwalimu bila yeye kujua kuhusiana na thamani ya nyumba yake ukilinganisha na kipato chake!
 
Muzee wa Monduli kaamishia majeshi mjengoni baada ya kubaini CC wanataka kumtosa.
 
Aliyetoa tuhumu dhidi ya Msekwa ni mbunge wa CCM na anajulikana yupo upande gani wa gamba.

Tukae mkao wa kula maana mwishoni mwa siku kashfa zote za wana CCM zitaweka hadharani ili tuone nani mwenye ujasiri wa kumnyooshea mwenzake kidole.

Wapo katika agizo la kutekeleza amri halali ya mwana wa Mungu kuwa hakuna fisadi atakaye kanyaga Ikulu 2015. Hao wa hiyo camp wanadhani wanawa komoa kumbe hawajui a confusion is thrown in the camp of the enemy ili nabii utimie!
 
Heri yao walio amua kuanikana hadharani kwani inatusaidia sie kujua mbivu na mbichi ikifika2015 tunachagua kiongozi mzuri tumechoka na hawa watawala (wanatula na watatula) tuseme mwisho tuwakatae 2015 au kabla kwa nguvu ya umma
 
Me nasubiri tu wamlipue mzee wa magogoni aka V.D baaasi,hapo picha litanoga sana.
 
Back
Top Bottom