Vita ya Mafuta!

Mutambukamalogo

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
397
85
Tupo hapa Kobil Mlimani City. Kuna fujo ya hali ya juu. Ni kama ni kituo pekee kinachouza mafuta kwa ukanda huu,hali ambayo imesababisha magari na raiwa wenye vidumu wengi kusongamana na wengine kupigana. Barabara ya kwenda Sinza imezibwa kabisa. Ni kama baadhi ya scene tuonazo Somalia.When this is gonna end only God knows.
 
hali kama hiyo ipo hapa kariakoo bigborn kuna foleni ya kufa mtu, tatizo ya kuwa na mfalme wa nyika kibogoyo
 
Matunda ya uongozi mbovu hali ikiendelea hivi kwa juma moja wadanganyika tunaweza kupata akili ya kunyanyuka na kuwashughulikia wanaotusababishia hali hii
 
hatuna viongozi, lengo lao ndio hilo watuchonganishe tup[igane wenyewe kwa wenyewe hakafu wao wapakiwe kwenye ndege kwenda kuona sumu ya Barrick inavyowateketeza ndugu zetu.......washenzi wakubwa hawa, ndio nimesema hivyo.
 
Serikali inayokubali kushikwashikwa makalio na makampuni ya mafuta si serikali rijali kabisaa
 
Nimeona hilo valangati wakati napita Sam Nujoma nikasikitika sana. It is amazing kuwa with all its machinery serikali inashindwa ku-resolve this issue. Ingawa kila mtu anataka hilo punguzo, lakini iemfika mahali sasa baadhi ya waendesha magari wanaona ni heri serikali isingeingilia suala hili na mimi nawaunga mkono. Kama serikali ilijua kuwa haina ubavu wa kuwadhibiti wauza mafuta, ni afadhali wangeacha bei ile ile. kabla ta punguzo tulikuwa tunanunua petrol kwa Sh2,100 hivi. sasa hivi serikali imeleta bei ya Sh2,004 tofauti ni kama Sh100 tu. Ni kweli kwua hiyo ni fedha nyingi kwenye mahesabu ya mafuta ya gtari lakini usumbufu unaopatikana hivi sasa kwa uzembe wa serikali kushindwa kudhibiti hali hii, ni mkubwa kuliko hiyo tofauti ya Sh100.
Wananchi wakianza kuichukia serikali, viongozi wanaweza kuanza kulalamika kuwa wananchi wamechochewa. Kwa hili nataka niiambie serikali kuwa ni yenyewe ndiyo iantuchochea wananchi
 
Hahaaaa umenikumbusha kweli eeeh, ndio maana yule bonge wa dar (masaburi) akasema wanafikiria kwa kutumia hayo uliyoyataja..........Kweli bhana, halafu mheshimiwa sijui havimbiwi maana kila siku naona anagonga msosi ikulu daily na watumishi wa kondoo kwa kisingizio cha mfungo
Serikali inayokubali kushikwashikwa makalio na makampuni ya mafuta si serikali rijali kabisaa
 
ningekuwa na uwezo ningepiga kibiriti hio mitambo yao, tukose wote
 
Nimeona hilo valangati wakati napita Sam Nujoma nikasikitika sana. It is amazing kuwa with all its machinery serikali inashindwa ku-resolve this issue. Ingawa kila mtu anataka hilo punguzo, lakini iemfika mahali sasa baadhi ya waendesha magari wanaona ni heri serikali isingeingilia suala hili na mimi nawaunga mkono. Kama serikali ilijua kuwa haina ubavu wa kuwadhibiti wauza mafuta, ni afadhali wangeacha bei ile ile. kabla ta punguzo tulikuwa tunanunua petrol kwa Sh2,100 hivi. sasa hivi serikali imeleta bei ya Sh2,004 tofauti ni kama Sh100 tu. Ni kweli kwua hiyo ni fedha nyingi kwenye mahesabu ya mafuta ya gtari lakini usumbufu unaopatikana hivi sasa kwa uzembe wa serikali kushindwa kudhibiti hali hii, ni mkubwa kuliko hiyo tofauti ya Sh100.
Wananchi wakianza kuichukia serikali, viongozi wanaweza kuanza kulalamika kuwa wananchi wamechochewa. Kwa hili nataka niiambie serikali kuwa ni yenyewe ndiyo iantuchochea wananchi
Mkuu, nadhani kama watu wote wangekua kama wewe Tanzania kamwe isingepata uhuru kutoka kwa mkoloni, haya mambo ya bora liende hadi lini, gari langu nimeliacha hom na kama serikali wakiamua kufunga vituo vyote vya mafuta kusisitiza bei ishuke hata kama itachukua mwezi mmoja hali kurudia kawaida nipo tayari sana, hatuwezi kuchukuliwa kama watoto wa chekechea na hao wafilipino, bei za mafuta zikipanda asubuhi mchana tayari wamepandisha lakini zikishuka,,,oooooh tuna stock ya mwezi hatuezi kupunguza ssa hivi,,,buuuul shit, issue hapa ni sisi kuipa support EWURA na sanity itarudi katika sekta.
 
Simpatii picha Ngeleja ana wakati mgumu hasa huu wa Mgawo wa umeme akiwa anatafuta jibu zuri la kuwaridhisha wawakilishi wetu bungeni sasa limeibuka jipya la Mafuta.....kazi kweli kweli nchi yetu imeoza.
 
Back
Top Bottom