Vita ya Kagera

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,543
19,392
Madhara ya vita ya Kagera baina ya Tanzania na Uganda katika uchumi wa Tanzania yalikuwa machungu sana. Vita hii imekuwa inatumiwa na wanaomchukia Nyerere binafsi, hasa katika utawala wa sasa hivi, bila kujali mazingira halisi yaliyokuwapo wakati huo ku-discredit uongozi wa Nyerere. Kuna wakati watu wamekuwa wanasema kuwa wakati wa Nyerere hatukuwa na TV na kusahau kuwa wakati huo hata Israel haikuwa na TV kwani wakati wa vita ya mwaka 1967 Israel ilikuwa inatumia TV za Misri. Ninajaribu kujiuliza kama mwaka huo wa 1978 tungekuwa na uongozi uliopo madarakani leo hii sijui tungefanya nini tofauti.

Nimeweka link ya documentary hii ambayo ni ya kiswahili nadhani imekuwa na narrated na hayati David Wakati, kwa hiyo ina siasa za CCM; ila ina video clips nyingi ambazo hazijawa edited, kwa hiyo ina ukweli mwingi sana kuhusu vita hiyo. Modereta unaweza kuiondoa thread iwapo link hii ilishawekwa hapa huko nyuma.

 
Last edited by a moderator:
Sasa chief israel kutokuwa na tv manake na sisi ndo tusiwe nayo? Mbona n korea mpaka leo hawana internet na cable tv ? Na wao wanamuiga nani?
 
Joshua@ unafikiri sisi watanzania tunalingana maendeleo na Korea kiusema na ukweli vita vya Uganda na tz zilileta madhara makubwa sana kuwa wanajeshi walikatika viungo vyao mpaka Leo serikali haiwatambui#joshua mbona unaunga mkona kwenye hasara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom