ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,418
- 9,592
Sizingumzii S-300, nazungumzia S-400 ndio inayoongoza katika anti missile technology duniani (sio kwa maneno yangu bali ndio chat inavyosema).
S-300 ni technology ya 1980 na mpaka 1995 mpaka 2005 ilikuwa kwenye Chat. Hivi sasa sio powerful. Ila latest ya S-300 kama S-300V Antey-300 na S-300PMU-2 bado hivi sasa zina uwezo mkubwa kuliko S-300 ya kawaida.
Hivi sasa S-400 ndio imeshikilia Chat. Bado S-500 inatengenezwa. Hizo ni upgrades pia. Sio kwamba nao wanakaa na kuridhika na technology. Nao wanafanya kazi ya kuweka improvements. Tusitazame upande mmoja.
Sijakataa ndo maana pale mwanzon nilikwambia wakt ww upo na silaha yako Kali wenzako hawalali wanatafuta namna ya kuikabili km tunavyojua silaha ni biashara kubwa sana duniani.... Na nikakutolea mfano kwamba unakumbuka wakt Urusi alipotangaza kuiuzia Iran latest version ya S300 Obama alisema"We'll penetrate any Iranian air defence"alikua anamaanisha