mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,111
- 21,655
inawezekana unayosem maana si kila sehemu ya serbia kulikuwa na mifumo hii ya s-125Pia kumbuka hyohyo radar ilishindwa kuendelea kutungua f117 zingine zilizokua zinaendelea kudondosha mabomu km kawa hyo inaamaanisha kwamba ile moja ilyotunguliwa kulkua na mistake ilifanywa na pilot