Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,054
MWIBA,look at the bigger scene,dont you think IRAQ and now AFGHANISTAN are being bombed back to the stone age whereas USA and her allies only loss is body bags being flown home.
MWIBA,look at the bigger scene,dont you think IRAQ and now AFGHANISTAN are being bombed back to the stone age whereas USA and her allies only loss is body bags being flown home.
vita haina macho,hii kuombana msamaha ni geresha.sasa wa kumlaumu nani? OBAMA anayeendelea kudunda auWapi umeona habari hiyo wewe ? Na kama hivyo ni ushindi basi naona itakuwa wanajidanganya ,sasa mtapiga kutokea juu mpaka lini ,watu wanaishi mapangoni nyinyi mnaenda kupiga vijiji eti mmepata habari kuwa maadui wapo,ikichunguzwa waliokufa ni wanawake,watoto na vilema ,tunasikia jeshi linaomba samahani mpaka uongozi wa Afghani umsituka na kuwambia kama ni hivyo bora muwache kama walivyo ,ndio ukaona wanajikusanya na kujaribu kwenda kwa miguu hapo ndipo wanapokiona kilichomfanya Mbuni awe na shingo refu maana ukitokeza pua tu watu wameondoa shingo.
Hawakuwa Libya peke yao - Wapalestina na waarabu kutoka sehemu mbali mbali walishiriki katika vita kutetea mwanachama mwenzao katika OIC kushambuliwa. (Waislamu mtanisamehe) lakini ilidaiwa kuwa nchi yenye kiongozi Muislamu, Uganda, imeshambuliwa na nchi yenye kiongozi Mkristo, Tanzania. Ni Field Marshall, Dr. Al Haj Idi Amin Dada aliyeiingiza Uganda OIC mwaka 1974. Ajabu ni kwamba nchini Uganda Waislamu hawafiki asilimia kumi lakini Wakatoliki wanazidi asilimia sabini. Habari ndiyo hiyo.
Vita ya mwaka 1978/79 Hans Pope hakuwepo, yeye aliuwawa kwenye uvamizi wa mwaka 1972, yeye alikuwa RPC wa mkoa wa Kagera (wakati huo Ziwa Magaharibi) na alikwenda kule na kikosi cha polisi kutuliza fujo Mutukula kumbe walikuwa askari wa Uganda wamevamia, hapo ndiyo alipouwawa na Amin akachukua maiti yake na kudai ni Mchina.Huyu alikuwa Mtanzania, Hans Pope, ambaye ngozi yake ni nyeupe! Idi Amin Dada alitumia propaganda ku-justify matumizi ya mamluki wake wa kiarabu/kiislamu!
..mimi nawafagilia hawa jamaa wa JWTZ.
..kila walipotumwa kwenda kufanya kazi wamerudi na USHINDI.
..na siyo hapo Uganda tu. askari wetu wamewahi kutumwa Seychelles, Comoro nadhani wamekwenda mara mbili, Mozambique, Zimbabwe, na DRC.
Ok, thanx kwa kutuhabarisha!Vita ya mwaka 1978/79 Hans Pope hakuwepo, yeye aliuwawa kwenye uvamizi wa mwaka 1972, yeye alikuwa RPC wa mkoa wa Kagera (wakati huo Ziwa Magaharibi) na alikwenda kule na kikosi cha polisi kutuliza fujo Mutukula kumbe walikuwa askari wa Uganda wamevamia, hapo ndiyo alipouwawa na Amin akachukua maiti yake na kudai ni Mchina.
Nyani Ngabu said:Huko walikotumwa hata mgambo wangepata ushindi! Wapelekwe Falujah basi tuone. Wakipata ushindi na huko hapo ndo ntasema yeeeeah...that's what's up! Sio Comoro na Ushelisheli....
Kakelende said:Vita ya mwaka 1978/79 Hans Pope hakuwepo, yeye aliuwawa kwenye uvamizi wa mwaka 1972, yeye alikuwa RPC wa mkoa wa Kagera (wakati huo Ziwa Magaharibi) na alikwenda kule na kikosi cha polisi kutuliza fujo Mutukula kumbe walikuwa askari wa Uganda wamevamia, hapo ndiyo alipouwawa na Amin akachukua maiti yake na kudai ni Mchina.
NN,
kwani wale 200 waliofanyiziwa pale Lukaya si dizaini ya watu wa Fallujah?
Nyani Ngabu said:Lukaya wakati ule wa vita dhidi ya nduli? Heheheheee...nasikia mpambano wenyewe ulikuwa wa virungu na bakora...Lol...but I guess ushindi ni ushindi tu
Huko walikotumwa hata mgambo wangepata ushindi! Wapelekwe Falujah basi tuone. Wakipata ushindi na huko hapo ndo ntasema yeeeeah...that's what's up! Sio Comoro na Ushelisheli....
Unamaanisha kwamba JWTZ hawawezi kujilipua na kulipua watu ovyo sokoni, misikini, kwenye mabasi, kama wanavyofanya akina Hamas, Hezbollah, Al Qaeda, nk?
Vita yetu na Uganda tuliweza kushinda siyo kwa sababu tulikuwa na silaha nzuri ukilinganisha na Uganda bali ni kutokana na uongozi shupavu wa mwalimu Nyerere pamoja na mshikamano,morali na moyo wa kujitolea kwa wananchi wetu kwa wakati ule. kwa sasa vita ikitokea tusitegemee kushinda kiurahisi na hii inatokana na uongozi goigoi uliopo ambao hauwezi kushughulikia mambo madogo kama ufisadi.